SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,336
- 4,695
Iyo kuWipe dunia eti ianze moja sijui blah blah ni story za kwenywe vijiwe vya kahawa. Hapa sio hapa sio mahali sahihi.
Hivyo ulivosema ni kuhusu America ni kweli na vinaaaply kwa nchi yoyote...kama Marekani angekua ivo unavodai mbona hakushinda vita Ya Vietnam?? Mbona hakushinda vita ya Korea ya 1950-53??
Marekani ana kila kitu kinachohitajika ktk vita ila anakosa kitu kimoja muhimu MORALI !
Hao wakomunisti "wamekunywa maji ya chama"....wewe ata ukienda na AK-47 yeye ana MANATI still atakubutua tu! Morale! Morale!
Kuhusu Nukes... fatilia zaidi ujue Nukes zinatumika wakati gani.
Kumbuka 1945, IMPERIAL Japan ilikua haikamatiki ktk WW2 bila kutumia Nukes Marekani ingekua colony la IMPERIAL JAPAN!
Ilikua ngumu sana kwa Imperial Japan kusurrender ile vita ambayo alikua ameicontrol...wengi wao waliishia kujiua badala ya kusurrender!
ASIANS wana morali sana!
Marekani wanaweza piga electronic bomb.Hii inakaanga mifumo yote ya mawasiliano ikiweo na mitambo ya umeme.Marekani wana laser device ktk space zikiwepo satelite, zinaweza choma makombora yakiwa njiani. Pia usidhani yale makombora ya kudungulia mengine hayafanyia kazi ?waulize urusi kwa nini walikomaa na obama hadi hakuweka georgia na ukrani?Alikiri itapunguza nguvu ya russia kushambulia. Kisha wanapiga mengine kadhaa, korea km itafutuka basi watatoka ktk vumbi na watalaani sana vita. Na pengine wataamua kuwa hasira za kazi km japan, Ujerumani. Rodman anafanya kazi vyema. Sasa hivi dili ipo mezani ktk mazungumzo na urusi, uchina . Hawa jamaa ni wajamaa, wajamaa ni watu wa hovyo sana,kwa mnaojua tazamani katoto kao ka kambo CCM. Wapo tayari kuua nchi ili tuu wasifiwe jeshi lao ni nouma duniani, sijui ile elimu ya kutafuta sababuz a kushindwa wanayoohadihiana( hawafanyi tafiti wala kusoma ila kupigiana soga tuu) akina kabudi. Uchina anadanganywa kila siku kuwa atavumiliwa, hatodhalilishwa hadharani ili raia wake waogope serikali ili wasijaribu ipindua, huku mlango wa nyuma wanawapa amrekani kila kitu wanachotaka.Kama kuna mtu hapendi au hakubali kushindwa basi ni mmarekani, kama kuna mtu wa visasi na malipizi basi ni mmarekani... Wao na waingereza wana SLOGAN yao moja WE DO BAD THINGS TO BAD PEOPLE....
Dogo kiduku Mr Missile man anamuendesha puta mzungu, kamshika nyeti kisha kamfunua kabisa....! HASIRA YAKE HIYO HAIPIMIKI.....
Bahati mbaya sana kwa marekani ni ngumu kupenyeza mamluki Korea kaskazini labda ROADMAN- THE NIGGER [emoji15] [emoji144] Kipenzi wa dogo kiduku
Hila zote ni ngumu hata za kutuma virusi vya magonjwa....! Kiduku yuko njema sana na anamjua mmarekani vilivyo....!!!
Option iliyobaki ni moja tu kwa sasa... Kutuma undersea missiles za nyuklia rasi ya Korea kaskazini zitakazosababisha tetemeko kubwa la ardhi na chini ya uso wa bahari litakaloathiri vinu vya nyuklia ya Korea kaskazini, miundombinu na wakazi wake....!!!!
Sidhani kama kuna mbinu mpya kwa sasa zaidi ya hiyo kwa bwana visasi..... Muda utasema tuwe na subra
Mchina kihistoria hajawahi kuwa taifa huru au lenye uwezo wa kutawala wengine.Ujenzi wa ukuta ilikuwa ni kinga ya china ndidi ya tawala za makabila yao makubwa ambayo yaliishi km viinnchi, hata baada ya kuunganishwa na kuwa china moja,bado kuna nchi kibao ambazo zimeshikiliwa kwa mkono wa chuma wa uchina. tibeti,hong,kong, taiwan, na wengine ktk bara .China analazimisha na mara nyingine kwa kukubali kutumikishwa na marekani ili tuu marekani asimwaibishe hadharani kwa kiasi cha kufanya wananchi wake waone udhaifu na kujiamulia watakavyo.Wachina wakipata uhuru kidogo tuu nchi nagawanyika vipande vipande. China hata india anamchapa.Tofauti ya wajamaa ni kwamba ni wafu wa akili na maadili.hawaheshimu sana uhai, wanaua sana wasio na fikra kama zao au watu wenye fikra pana.Wajamaa hawataki waelewa, ndio maana hawataki chama mbadala, hawataki NGO etc .Hawataki habari kuwa huru ili watu wachambue wenyewe.Kwa vile wanajua watu wakijua kweli huwezi wadanganya tena kwamba chadema sio wazalendo, huwezi wadanganya tena kuwa wabepari ndio wanawaibia watu, na sio kwamba wajamaa ndio wachovu ktk biashara na mipango yenye mashiko.Wambie hawa,...kuna watu hawafaham mambo,wakiskia haya watakwambia ni stor za kawaha...tell em
Ole wao wakosee mahesabu..likitua 1 tu huku Africa basi wajue kuwa albadiri itawahusu..ujinga wao huko hukooUS has 700+ nukes on stock Russia more than 900,
Hesabu ni rahisi North Korea is provoking the US so that the US hit back Mr Kiduku this will make the US seen as the Aggressor, Mr Kiduku will then seek(obvious)support from Rassia and China.
Kitu ambacho Marekani hatoweza pigana hiyo vita.... pia hata urusi na china hawatotaka ifike huko kwasababu, US with its 700+ nukes and other bombs their enough to burn half of the world. Russia na China nao pia wakirusha yao they will burn two world.
Dunia yooote itakua ashes....
Kama kuna mtu hapendi au hakubali kushindwa basi ni mmarekani, kama kuna mtu wa visasi na malipizi basi ni mmarekani... Wao na waingereza wana SLOGAN yao moja WE DO BAD THINGS TO BAD PEOPLE....
Dogo kiduku Mr Missile man anamuendesha puta mzungu, kamshika nyeti kisha kamfunua kabisa....! HASIRA YAKE HIYO HAIPIMIKI.....
Bahati mbaya sana kwa marekani ni ngumu kupenyeza mamluki Korea kaskazini labda ROADMAN- THE NIGGER [emoji15] [emoji144] Kipenzi wa dogo kiduku
Hila zote ni ngumu hata za kutuma virusi vya magonjwa....! Kiduku yuko njema sana na anamjua mmarekani vilivyo....!!!
Option iliyobaki ni moja tu kwa sasa... Kutuma undersea missiles za nyuklia rasi ya Korea kaskazini zitakazosababisha tetemeko kubwa la ardhi na chini ya uso wa bahari litakaloathiri vinu vya nyuklia ya Korea kaskazini, miundombinu na wakazi wake....!!!!
Sidhani kama kuna mbinu mpya kwa sasa zaidi ya hiyo kwa bwana visasi..... Muda utasema tuwe na subra
Namshangaa sana..huyo anachosoma basi ndo anakiamini directly..nafikiri Oxford, Cambridge na pennsylannia ndo waliomjuza akawaamini 100% [emoji38] [emoji38] [emoji38]Wewe usitumie kigezo cha kusoma nipe fact acha porojo
Na ziko automated zitapigana zigzag, huyu akipiga kushoto, yule atabamiza kulia... Tutakaopona ni sisi WaTz tuu... Wazee wa skonyoKweli kaka ni 000 si 00 kama nilivyokosea.
US+Russia =15000+ nukes enough nukes kuchoma dunia na mwezi wake, sasa sijui atakae win ataenda wapi??
Au atahamia sayari ya Utaridi[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kaka unajua bombs yaliyo dondoshwa Hiroshima na Nagasaki yaliuwa watu wangapi papohapo na wengni wangapi waliendelea kuzaliwa wamekufa, na wengeni magonjwa ya macho, kifua na ngozi yasiyo tibika.........Labda tuishe KIUCHUMI lakini madhara ya moja kwa moja ya vita kama vifo na majeruhi hatuwezi kuyapata maana vita itapiganwa huko Asia....
Huyo ndio mbayaaaa sana...trump ni mwendawazimu sana..marekani watajuta sana kumchaguaVita ya dunia inanukia,muiran naye anatest mitambo,kama mbwai na iwe mbwai tu
Marekani kitoko tu ..si ajaribu..mbona syria kamuogopa Russia ..aanze vita NK aone atavyotimuliwa vooozzzMarekani ni shughuli nyingine
Ndo maana kama umesoma comment zangu tangu mwanzo utakuwa umeona mtizamo wangu kuwa katika tention hii iloyopo chance ya kutokea au kupigana a real war ni ndogo sana, N korea currently doesnt stand a chance with the US, ila na kiburi chakuweza kuwavuruga S korea na Japan ambao ni allies wa US ndani ya dakika 0, this will be bad to the US who had agreement with S Korea and Japan to protect them militarily thus why S Korea and Japan opted not to develop their own nukes (siyo kwamba hawana technology au stable economies to support the project) kwa sababu wanajua bwana mkubwa US mwenye 7000+ Nukes yupo pamoja nao.Tatizo Nukes haziwezi kutumika kizembe kama mnavyodanganywa kwenye vijiwe vya kahawa!
Sio kila vita Nukes zinatumika!
Nakupa mifano.
Warusi waliburuzwa vibaya na Mujahidina kwenye Vita ya Soviet v Afghanstan..mbona hakutumia izp nukes japo alishindwa vibaya?? Ama unazani hakua nazo tena miaka hiyo ya 1979??
America ilipigwa vibaya tena kwa aibu na Vietnam mbona haikutumia izo nukes..ama unazani haikua nazo labda unahisi alivyozitumia kwa Imperial Japan mwaka 1945 ziliisha??
Moral: Sio kila ukiona kichaka unakunya, vingine unajambia tu inatosha!
mmmmmmhUS has 700+ nukes on stock Russia more than 900,
Hesabu ni rahisi North Korea is provoking the US so that the US hit back Mr Kiduku this will make the US seen as the Aggressor, Mr Kiduku will then seek(obvious)support from Rassia and China.
Kitu ambacho Marekani hatoweza pigana hiyo vita.... pia hata urusi na china hawatotaka ifike huko kwasababu, US with its 700+ nukes and other bombs their enough to burn half of the world. Russia na China nao pia wakirusha yao they will burn two world.
Dunia yooote itakua ashes....
Utakuwa umesomewa albadri wewe,usijifanye unaakili kuliko mchinaKuna jambo hamuelewi, USA haina nia ya kuingia Vitani na Korea, wanachokitafuta ni ambacho wamekuwa wakikitafuta siku nyingi na wameshakipata tayari, nacho ni kuizingira Uchina Kijeshi!
Hivyo USA anaitumia Korea kwa makusudi kabisa lkn lengo ni lingine, na sasa wameweka Radar kwenye Korean Peninsula kwa kisingizio cha Korea lkn lengo ni Uchina na hapo ndipo dili lote lilipo, USA wanataka ku-contain Uchina hivyo kwa kuweka radar Korean Peninsula wana uwezo wa kuona kinachoendelea ndani ya Uchina, kumbuka Uchina siku zote alikuwa anapinga kuwekwa kwa anti ballistic missiles (THAAD) kwenye mipaka yake, sasa sababu ya kuwekwa imepatikana hivyo mission accomplished!
Kwa kifupi uwepo wa Kim is by design iko documented tafuta Kitabu cha master wa Geo strategy wa USA Zbigniew Brzezinski, lengo la USA ni kupata nafasi ya kuweka THAAD Korean Peninsula hivyo anautumia ugomvi wa Kim na tayari ameshafanya hivyo, lkn hana lengo la kuingia Vitani na Korea kwanza ni kinyume chake Kim yuko kwa ajili hiyo ni lazima awepo kwa ajili ya interest ya USA, yaani kwa kifupi ugomvi wa Korea ni lazima uwepo ili USA aendelee kujenga millitary base kuizingira Uchina, hivyo Kim ni kisingizio tu kama vingine sijui Taliban au Bin Laden, lkn hkn Vita dhidi ya Korea mtasubiri sana, ...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ole wao wakosee mahesabu..likitua 1 tu huku Africa basi wajue kuwa albadiri itawahusu..ujinga wao huko hukoo
Kaka watu wanamchukulia poa US, US is the leading in nation in science and technology..... Wana invest sana katika R&D. Japan is a leading nation in electronics technology...Na ziko automated zitapigana zigzag, huyu akipiga kushoto, yule atabamiza kulia... Tutakaopona ni sisi WaTz tuu... Wazee wa skonyo
Mkuu umewaza nje ya box, haiwezekani wafanye ivo kwani kuna wake zao wanaowapenda tokyo na korea ya kusini.wata contaminate eneo lote hilo? vipi majirani wa north k. watabaki salama?
Ningum kufanya calculations kwenye earth quake kwamba iathiri north pekeeExact calculations n parameters.. Na ili kuuzuga ulimwengu kule itafika but with very minor effects
Kuna logic behind[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Kuna jambo hamuelewi, USA haina nia ya kuingia Vitani na Korea, wanachokitafuta ni ambacho wamekuwa wakikitafuta siku nyingi na wameshakipata tayari, nacho ni kuizingira Uchina Kijeshi!