Marekani ina kibarua kigumu Syria

Marekani ina kibarua kigumu Syria

Status
Not open for further replies.
Nafahamu Lkn hapo awali Kabla ya mkataba kwanini Misri haikuwafurusha Hao askari waoga wakaondoka hapo Sinai???
Labda urudi kusoma iliendaje mpaka pakawepo mkataba wa campdavid ambao ndo ulisimamisha vita.
ila kwa ufupi baada ya israel kuwa kama inaishiwa silaha wali i blackmail marekani iwape silaha ama la watafyatua nyuklia.marekani wakaanza ku airlift silaha kwenda israel,hapo mrusi nae kuona ivo akatishia kuingilia kwa upande wa misri.marekani wakaona patazuka vita vya tatu ndo akaanzisha mazungumzo ya campdavid.
 
Halafu tuje lebanon,baada ya israel kuvamia na kukalia kusini mwa lebanon,syria wakapeleka askari kuzuia wasifike hadi beirut na walifanikiwa na israel ikabaki kusini mwa lebanon mpaka ilipoanzishwa hezbulah na kuwatoa waisrael nje ya mipaka ya lebanon.ndo maana mpaka leo hezb wanasauti lebanon kwa ajili hiyo.
sasa au unataka lebanon wavamie israel?.
Katika tatizo la makaburu africa kusini uliona tanzania wamevamia pretoria?.
au kenya walishiriki vita vya kuikomboa africa kusini,ama uganda!
ndo ujue si kama unavyotaka wewe iwe.
Elungata achana na ubishi usio na tija.

This is Tel Aviv
TelAviv.jpg
 
Last edited by a moderator:
Tel aviv ina skyscraper za kuhesabu,japo ziko kama nne ambazo naziona ni ndefu kuliko zilizopo gaza.lakini eneo kubwa ni nyumba za mgongo wa tembo.wakati gaza karibu yote ni apartments za maghorofani.
 
Zoom halafu niwekee picha ya vijiji vya wapalestina kama vipo.
Palestinian-village-of-Nu-001.jpg

A Palestinian boy burns wood in front of a shed in the Palestinian village of Nu'man. Photograph: Tara Todras-Whitehill/AP

http://www.theguardian.com/world/2009/may/06/israel-palestinian-territories
 
Tel aviv ina skyscraper za kuhesabu,japo ziko kama nne ambazo naziona ni ndefu kuliko zilizopo gaza.lakini eneo kubwa ni nyumba za mgongo wa tembo.wakati gaza karibu yote ni apartments za maghorofani.
This is Tel Aviv

dest_ss_tel-aviv_001_596x334_596x334.jpg

tel-aviv-sunset-time-ron-shoshani.jpg

globalcity580.jpg

Tel-Aviv-Night-Skyline-2013.jpg

News-24-lug-Tel-Aviv.jpg

Israel-TelAviv-JeffreyWorthington2012-DSC09299.jpg
 
Tel aviv ina skyscraper za kuhesabu,japo ziko kama nne ambazo naziona ni ndefu kuliko zilizopo gaza.lakini eneo kubwa ni nyumba za mgongo wa tembo.wakati gaza karibu yote ni apartments za maghorofani.
30036_tel_aviv_azrieli_center.jpg

tel_aviv01.jpg

View_on_Tel_Aviv.jpg

Tel+Aviv-Azrieli+Tower-49+Floor-005-Akirov+Towers-YoYo-Tzameret.jpg
 
Lete ushahidi hapa babu zake Suleiman walipora hiyo nchi kwa wapalestine..!
We jamaa,unataka kuninasa.
anyway hawa akina joshua wakitoka misri walikozaliwa wakaja hadi nchi ya caanan ambayo baadae ikaitwa palestina na kupora ardhi toka kwa wakazi wa maeneo hayo ya caanan ambayo baadae warumi waliita palestine.
kisha tena wakaja wazungu toka ulaya karne ya 18 wakisema wao ni uzao wa daud,wakapora tena ardhi toka kwa wapalestine na kuanzisha taifa la israel.
 
Yeah,nakubali tel aviv wana skyscraper kadhaa za hatari,nachoshangaa kwanini waisrael wengine wanaishi kwenye vile vikotaz?tena wanajengewa na serekali
 
Mkuu Huyu Elungata ni mbishi sn yani hapa mtasumbuana sn na kamwe hawezi kubadili mtazamo wake.

Lkn kuna swali moja tu anapaswa kujiuliza. Israel imezungukwa na mataifa ya kiarabu kila kona. Kutokana na chuki zao au misukumo Yao ya kiimani Hawa waarabu wangekua na uwezo wangeshaifutilia mbali hii Israel. Sasa kwanini mpk Leo wameshindwa? Tena Wakati
Mwingine Israel imekua ikikalia maeneo Yao kwa nguvu na kuwapiga, kwanini wasiinuke kuipiga Israel?

Dhubutu yao!!!haitatokea wala hawatajaribu wakijaribu itakuwa sana na kujichimbia kaburi,Ni kweli waarabu wana majeshi makubwa sana na silaha za kutosha na mafuta si ya kuhemea lakini hawawezi kuingia vitani na Israel wakatoka salama,Waarabu kiboko yao ni haya ma-ISIS huoni yalivyowatoa kamasi ikabidi waombe msaafa Marekani wadaidiwe.Kwa Israel ni kikomo cha magari mabovu.
 
Last edited by a moderator:
Yeah,nakubali tel aviv wana skyscraper kadhaa za hatari,nachoshangaa kwanini waisrael wengine wanaishi kwenye vile vikotaz?tena wanajengewa na serekali
This is Palestine ENJOY Elungata
gaza-children-looking-for-food-in-a-garbage_7333.jpg

20100116103411.jpg

Beit-Ummar1.JPG

palestine_bedouin_village.jpg
 
Last edited by a moderator:
Yeah,nakubali tel aviv wana skyscraper kadhaa za hatari,nachoshangaa kwanini waisrael wengine wanaishi kwenye vile vikotaz?tena wanajengewa na serekali
palestine_woman_walking.jpg

[FONT=Times New Roman, Times, serif]Hardworking Palestinian lady.

[/FONT]
palestine_crossing_roadblock.jpg

[FONT=Times New Roman, Times, serif]Walking down a blocked road in El Hader. Carry what you can. No transportation is available.

[/FONT]
 
Dhubutu yao!!!haitatokea wala hawatajaribu wakijaribu itakuwa sana na kujichimbia kaburi,Ni kweli waarabu wana majeshi makubwa sana na silaha za kutosha na mafuta si ya kuhemea lakini hawawezi kuingia vitani na Israel wakatoka salama,Waarabu kiboko yao ni haya ma-ISIS huoni yalivyowatoa kamasi ikabidi waombe msaafa Marekani wadaidiwe.Kwa Israel ni kikomo cha magari mabovu.
Israel imepigana na gaza mwezi na nusu,silaha zikaisha mpaka wakaenda kuingilia store za wamarekani na kuchukua bila ruksa ya whitehouse.leo uwapanishe na nchi za kiarabu mbona jasho litawatoka.
kama nyuklia hata saudi wanazo,itakuwa ni noumer.
ndo maana marekani anajitahidi kuziweka karibu misri,saud,uae,qatar,kwani hao ndo tishio kama silaha wanazo tena za mmarekani huyohuyo.pia yataka ujue hata isis ni waarabu pia in majority.
sema wewe unapotaka waungane maana yake unataka vita vya tatu na marekani hataki hilo ndo maana anawagombanisha.
 
We jamaa,unataka kuninasa.
anyway hawa akina joshua wakitoka misri walikozaliwa wakaja hadi nchi ya caanan ambayo baadae ikaitwa palestina na kupora ardhi toka kwa wakazi wa maeneo hayo ya caanan ambayo baadae warumi waliita palestine.
kisha tena wakaja wazungu toka ulaya karne ya 18 wakisema wao ni uzao wa daud,wakapora tena ardhi toka kwa wapalestine na kuanzisha taifa la israel.

Naomba mkuu unisaidie maana mimi nijuavyo 1967 hakukuwepo nchi wala watu waliokuwa wanaitwa Wapalestina kusema nchi au wapalestina imetokea 1967 huko nyuma hakuwepo,na mwaka 1967 lile Gazeti maarufu Huko Israel lilikuwa linaitwa Palestina Post la wayahudi ila sasa hivi linaitwa Jerusalem Post.Naomba nawe unieleze Rais wa kwanza wa palestina ni nani na ilipata uhuru mwaka gani na imeporwa mwaka gani ikiwa chini ya rais nani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom