Marekani ina kibarua kigumu Syria

Marekani ina kibarua kigumu Syria

Status
Not open for further replies.
yaani hapakutosha,wapi iron dome?.
Flickr_-_Israel_Defense_Forces_-_Children_in_Town_Under_Fire_by_Rockets_from_Gaza_(2).jpg

Haya hutokea kila sehemu kwenye vita usishangae sana
 
hqdefault.jpg
.
Palestina,even women doesnt ran.

Akimbie nini wakati si tishio kwa usalama???lakini akifa hapo ninyi tayari mnaanza kusema Israel inaua wanawake yawezekana hawakimbii kwa sababu kama wanaume walisha-Ahidiwa Mabikira 70 hivyo wengi huwa wanajipeleka ili wafe ili wakakabidhiwe wale Mabikira waanze kuwashughulikia,kwa wanawake sijui wao wameahidiwa nini
 
Bill gate on boycot israel product.
American billionaire and co-founder of Microsoft Bill Gates has sold a large stake of his shares in a British firm that does business with Israel's prison system and military, the Telegraph reported Friday.
G4S, an international company worth tens of billions of dollars employing over 600,000 employees worldwide, provides security systems to Israeli prisons and checkpoints in the West Bank.
According to the Israeli NGO Who Profits, in 2007 G4S signed a contract with the Israel Prison Service to provide surveillance systems to Israeli prisons, including Ofer, Ketziot and Megiddo, where Palestinian detainees are held as political prisoners without trial. Addameer, a Palestinian NGO advocating for the human rights of Palestinian prisoners, issued a call to action in April along with dozens of other Palestinian and international organizations urging Gates to divest from G4S.
Gates, considered the world's richest man, held a 3 percent stake in the company through his philanthropic Bill & Melinda Gates Foundation and private investment Cascade, estimated to be worth $167 million. It is unclear how many shares he still holds.
Addameer and other supporters of the Boycott, Divestment and Sanctions Movement issued a statementFriday expressing satisfaction with the move:
“We are glad the pressure on the Gates Foundation to divest from G4S is starting to work. We urge the Foundation to sell any remaining shares it still holds and release a public statement pledging not to invest in corporations profiting from Israel’s military occupation,” said Rafeef Ziadah, Senior Campaigns Officer at War on Want.
War on Want partner, Addameer Palestinian Prisoner and Human Rights Association added, 'we have been arguing that it is completely unacceptable for a charitable foundation to be investing in a company, like G4S, which participates in gross human rights violations against Palestinian political prisoners, including child prisoners. We welcome this step in the right direction.'”

Ngonjera at work hii imeimbwa toka enzi za Arafat mpaka leo wimbo ni ule ule
 
Kwa macho makavu kabisa unalinganisha military capability ya israel na hamas?.
bado licha ya hamasi kupigana na bunduki tu israel waliufyata baada ya eti kujaribu vita vya ardhini,wakapoteza askari 67 ndani ya wiki ikabidi warudi nyuma na kuendelea kupigana na hamasi wakiwa futi 30,000 angani.
wakashindwa kuiteka gaza.
na mda huo nusu ya waisrael wakiishi mahandakini mchana na usiku hata kazi haziendi.

Are you sure!!!capability ya Hamas huwezi kulinganisha na Jeshi la nchi labda uwe unataka kupigia chepuo Hamas,Ni kweli Israel ilipoteza watu 67 na upande wa pili wao walipoteza watu zaidi ya 2000 na wengine zaidi ya hao kupoteza makazi yao.kwa kumbukumbu yangu kulikuwa na meza ya mazungumzo kule misri Hamas walikataa katakata kuacha kuvulumisha maroketi Israel mpaka mambo matatu yatekelezwe bila hivyo wataendelea na mashambulizi.masharti waliyoyatoa ni Israel iondoe mzingiro wa Gaza wawe na Bandari yao n airport yao na wavisimamie wao.Israel haikukubaliana na masharti yote hivyo iliendeleza KIPONDO mpaka wenyewe walipokubali wakaacha kurusha maroketi yao na ndiyo ikawa mwisho wa vita vya siku 50.Hamas hawakupata chochote katika maridhiano hayo.sasa wewe unapotaka kulinganisha jeshi la nchi kama Israel ulinganishe na Hamas hakuna uwiano kabisa maana kama nijuavyo kama Hamas wangekuwa na uwezo basi wangeianfamiza Israel kwa siku moja tu,lakini walishashindwa hata huyo The Big Dog Iran nilitarajia atawatoa kimasomaso kwa kuwasaidia wapambe wake cha ajabu alikuwa kimya kabisa.
 
Kiwanda gani israel wanatengeneza computer ama simu?.
wale wanatengeneza application ambazo hata mbongo mwenye certifcate ya computer science anatengeza.
wao wanauza nyanya,na vipapatio vya kuku wa kisasa.

Kama wangekuwa wanauza nyanya tu na vipapatio vya kuku wa kisasa basi wangekuwa wamefutika katika uso wa dunia kwa jinsi msivyowapenda.
 
Majasiri kivipi?kuwafanya raia kuwa kinga????
Achana na kukariri kama kasuku,hivi huoni hiyo ilikua lugha ya propaganda ili wapate sababu ya kuua wanawake na watoto?.
hiyo picha juu ya mama na watoto hebu onyesha hamasi yuko wapi hapo.
 
Kama wangekuwa wanauza nyanya tu na vipapatio vya kuku wa kisasa basi wangekuwa wamefutika katika uso wa dunia kwa jinsi msivyowapenda.
Wameshaanza kurudi europe baada ya kugundua kumbe nchi waliyoahidiwa itakua na maziwa na asali kumbe wamekuta changarawe tu.
pia wamegundua ardhi yenyewe kumbe ni ya wizi.
 
Mkuu naona Bado Uko ktk mada zako uzipendazo....!

Ni lini utaweza kutoa maoni ya yenye uwiano sawa kwa kila pande? Maana Mara nyingi ktk hoja zako huichukulia Israel nguvu zake Za kijeshi sawa na kundi la Hamas au Hizbola.

Kwa mtu ambaye hajui mambo ya kijeshi anaweza kulinganisha jeshi la Israel na vikundi vya Hamas na Hizb.lakini kwa anayejua hawezi kulinganisha maana hakuna mlingano kwa nyanja zote.Kwa upande wa Hamas najua ni mabingwa wa kujenga mahandaki ambayo hawakuyatumia walivyopanga na kuishia kuanfamizwa ambapo cement hiyo ingetumiwa kujengea shule na hospital wananchi wakanufaika lakini mahandaki hayo yote yamefumuliwa labda waanze tena basi itakuwa kazi ya PWAGU na PWAGUZI.
 
Poultry products originating from Israeli settlements no longer sent to Europe amid EU sanctions
Officials at the foreign and agriculture ministries say that so far no serious economic damage has been done, with diversion to the local market solving the problem.
By Barak Ravid|Aug. 17, 2014 | 3:33 AM|5
 
Kwa mtu ambaye hajui mambo ya kijeshi anaweza kulinganisha jeshi la Israel na vikundi vya Hamas na Hizb.lakini kwa anayejua hawezi kulinganisha maana hakuna mlingano kwa nyanja zote.Kwa upande wa Hamas najua ni mabingwa wa kujenga mahandaki ambayo hawakuyatumia walivyopanga na kuishia kuanfamizwa ambapo cement hiyo ingetumiwa kujengea shule na hospital wananchi wakanufaika lakini mahandaki hayo yote yamefumuliwa labda waanze tena basi itakuwa kazi ya PWAGU na PWAGUZI.
Hata ukija kwa nyanja ya elimu gaza wako juu.ngoja ntakuwekea data.
hata ukija kwenye majengo licha ya israel kuzuia simenti bado gaza iko juu,tofauti na waisrael wanaishi kwenye kotaz kama za national housing za zamani hapa bongoland.
 
Wameshaanza kurudi europe baada ya kugundua kumbe nchi waliyoahidiwa itakua na maziwa na asali kumbe wamekuta changarawe tu.
pia wamegundua ardhi yenyewe kumbe ni ya wizi.

Hapana nchi ya Israel si ya wizi wayahudi wana chimbuko lao pale toka enzi Mfalme Suleman alimjengea Mungu Hekalu pale na leo hii kwa kiyahudi ni sherehe ya Sukkot watu wa dini mbalimbali wanaruhusiwa kutembelea hapo kuona lakini chini ya huo msikiti wa Alaksa ndiko lilipokuwa lile hekalu la Sulemani leo waislam wamezuia watu kutembelea hapo wamepigana na polisi na mpaka sasa polisi wameweza kuwafukuza na kuwafungia ndani ya huo msikiti wa Alaksa.hivyo wayahudi wana chimbuko hapo hivyo ni kwao.wanaorudi wanarudi lakini makumi wanakuja kutekeleza ALIYA hapa na wengine kuhamia kabisa na kujiunga na IDF.
 
Achana na kukariri kama kasuku,hivi huoni hiyo ilikua lugha ya propaganda ili wapate sababu ya kuua wanawake na watoto?.
hiyo picha juu ya mama na watoto hebu onyesha hamasi yuko wapi hapo.

Magaidi daima hujificha kati ya raia ili wasipate kipondo,the same na Hamas hawawezi kuvaa uniform maana watafyekwa kirahisi lakini wakivaa na kupigania maeneo ya kiraia ukiwaua hata kama ni hamasi watasema ni raia ili tu kupata HURUMA
 
Hapana nchi ya Israel si ya wizi wayahudi wana chimbuko lao pale toka enzi Mfalme Suleman alimjengea Mungu Hekalu pale na leo hii kwa kiyahudi ni sherehe ya Sukkot watu wa dini mbalimbali wanaruhusiwa kutembelea hapo kuona lakini chini ya huo msikiti wa Alaksa ndiko lilipokuwa lile hekalu la Sulemani leo waislam wamezuia watu kutembelea hapo wamepigana na polisi na mpaka sasa polisi wameweza kuwafukuza na kuwafungia ndani ya huo msikiti wa Alaksa.hivyo wayahudi wana chimbuko hapo hivyo ni kwao.wanaorudi wanarudi lakini makumi wanakuja kutekeleza ALIYA hapa na wengine kuhamia kabisa na kujiunga na IDF.

Mkuu Huyu Elungata ni mbishi sn yani hapa mtasumbuana sn na kamwe hawezi kubadili mtazamo wake.

Lkn kuna swali moja tu anapaswa kujiuliza. Israel imezungukwa na mataifa ya kiarabu kila kona. Kutokana na chuki zao au misukumo Yao ya kiimani Hawa waarabu wangekua na uwezo wangeshaifutilia mbali hii Israel. Sasa kwanini mpk Leo wameshindwa? Tena Wakati
Mwingine Israel imekua ikikalia maeneo Yao kwa nguvu na kuwapiga, kwanini wasiinuke kuipiga Israel?
 
Last edited by a moderator:
Magaidi daima hujificha kati ya raia ili wasipate kipondo,the same na Hamas hawawezi kuvaa uniform maana watafyekwa kirahisi lakini wakivaa na kupigania maeneo ya kiraia ukiwaua hata kama ni hamasi watasema ni raia ili tu kupata HURUMA

Inakua sawa na vita ya Polisi na panyaroad....!

Teh Teh Teh Teh...!
 
Mkuu Huyu Elungata ni mbishi sn yani hapa mtasumbuana sn na kamwe hawezi kubadili mtazamo wake.

Lkn kuna swali moja tu anapaswa kujiuliza. Israel imezungukwa na mataifa ya kiarabu kila kona. Kutokana na chuki zao au misukumo Yao ya kiimani Hawa waarabu wangekua na uwezo wangeshaifutilia mbali hii Israel. Sasa kwanini mpk Leo wameshindwa? Tena Wakati
Mwingine Israel imekua ikikalia maeneo Yao kwa nguvu na kuwapiga, kwanini wasiinuke kuipiga Israel?
Ha ha ha,mi nabisha kwa point.
namwambia weka source anadai anatumia simu,sasa ntamsaidia vipi huyu?.
kwa wewe pia usidhani nchi za kiarabu hawana mahusiano na israel.
kuna jordan,saudia,misri,uae,etc.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom