Marekani ina kibarua kigumu Syria

Marekani ina kibarua kigumu Syria

Status
Not open for further replies.
Hapana nchi ya Israel si ya wizi wayahudi wana chimbuko lao pale toka enzi Mfalme Suleman alimjengea Mungu Hekalu pale na leo hii kwa kiyahudi ni sherehe ya Sukkot watu wa dini mbalimbali wanaruhusiwa kutembelea hapo kuona lakini chini ya huo msikiti wa Alaksa ndiko lilipokuwa lile hekalu la Sulemani leo waislam wamezuia watu kutembelea hapo wamepigana na polisi na mpaka sasa polisi wameweza kuwafukuza na kuwafungia ndani ya huo msikiti wa Alaksa.hivyo wayahudi wana chimbuko hapo hivyo ni kwao.wanaorudi wanarudi lakini makumi wanakuja kutekeleza ALIYA hapa na wengine kuhamia kabisa na kujiunga na IDF.
Sasa sulemani babu zake si ndo walipora ardhi,akina joshua?.
kuna ushahidi waisrael wanarudi ulaya,tena wamesikia EU wanataka kupiga limit kutoa paspoti kwa wayahudi wanaotaka kurudi ulaya na hivyo makundi kwa makundi wanarudi ulaya.
 
Ha ha ha,mi nabisha kwa point.
namwambia weka source anadai anatumia simu,sasa ntamsaidia vipi huyu?.
kwa wewe pia usidhani nchi za kiarabu hawana mahusiano na israel.
kuna jordan,saudia,misri,uae,etc.

Ameshakuambia kua hayo anayoyasema yanasemwa sn ktk Vyombo vya habari na yanajulikana ata Mimi pia nayafahamu... Sasa unadai chanzo cha habari cha nini? Au ni ubishi tu mkuu?

Ndio hayo mataifa yako na uhusiano na Israel Lkn hapo nyuma baadhi yalikua na maadui wa Israel na pia ktk hizo nchi km Masri kuna makundi yasiyopenda mamlaka ya Tel aviv. Swali liko hapo hapo kwanini wasiinuke kuichapa Israel km wewe unavyoringanisha Israel na kundi la Hamas?
 
Sasa sulemani babu zake si ndo walipora ardhi,akina joshua?.
kuna ushahidi waisrael wanarudi ulaya,tena wamesikia EU wanataka kupiga limit kutoa paspoti kwa wayahudi wanaotaka kurudi ulaya na hivyo makundi kwa makundi wanarudi ulaya.

Una uhakika na madai yako? Waliipora kwa nani?
 
Wayahudi wanarudi ulaya.
An Israeli Facebook page launched earlier this month to assist Israelis in escaping their apocalypse through migration has now gone viral reaching more than 700,000 Israelis. It is called Olim Le-Berlin, ‘Ascending to Berlin,’ using the same positive Hebrew e_xpression ‘Aliya’ attributed to the Jewish Diaspora emigrating to Israel.
Apparently, the confident Zio-patriotic balloon has been burst by a few Palestinian rockets landing in Tel Aviv. In truth, this implosion is occurring because the Jewish State is an inconvincible concept. As much as the Jews yearned to return to their phantasmic ‘homeland,’ they failed to make Palestine into a true home. On the contrary, Israel has become the definitive showcase of every problematic Jewish ideological and cultural trait: it is racially supremacist, it is exclusive, it is an abusive ghetto suffocated with goy hatred, and its treatment of its own people and especially its poor is despicable.
Yesterday, I learned from Israeli TV Arutz 2 that the migration campaign organizers have applied directly to German Kunstler Angela Merkel to request 25,000 temporary work visas. They did so in response to more than 9000 calls from desperate Israelis. Some Israeli patriots are clearly devastated by the recent dash to mass migration, they labeled the new campaign as an “insult to all Holocaust survivors.” “See you in the gas chambers,” commented one critic on the Facebook page. If any of these WMD obsessed Israelis really want to witness the way in which my exile Israeli friends interact artistically with me, jazz chambers rather than ‘gas chambers’ is probably the best place to do so.
According to Israeli officials, the number of Israeli ‘deserters’ is offset by incoming Jews from Eastern Europe, America and France, who tend to be “more religious and right-wing.” Israeli officials also admit that Western metropolitans are more attractive to Israeli secular and educated youngsters. A growing numbers of educated Israelis understand that Israel’s fate is pretty much sealed. It is crucial to remember that for more than a few years, Israelis of European descent have been queuing at German, Hungarian and Polish consulates for foreign passports. Their Sephardi brothers are also eagerly awaiting for the Spanish parliament to approve a plan to grant nationality to no less than three million Sephardi Jews.
The take home message is devastatingly clear. Israel has now officially entered its final terminal phase. The catastrophic situation has entered into Israeli collective awareness. Israelis are now running for their lives and they have good reason to believe that Europe will soon close its gates to avoid the Hebrew tsunami.
Predictably, it wasn’t the watery Soros funded ‘non-violent’ BDS movement that brought the Jewish State to its end. It was effectuated by authentic Palestinian resistance; an Islamic motivated willingness to fight and a fierce determination to win. It is the ability to send a ballistic message to Tel Aviv and Haifa that delivers the unmistakable message to Israelis that they are dwelling on stolen land.
Again, we see that it doesn’t take much for the Jews to reveal their flimsy ideological and spiritual bond to nationhood. If the IDF and Zionism initially inspired the fearless Jewish combative warrior; a few sirens in Tel Aviv revealed the feeble nature of Israel’s ideological bond and the depth of Israeli hedonistic inclinations. From a psychoanalytical perspective, it may be that the murderous barbarism Israel exhibited in every recent round of violence is the result of a desperate attempt to conceal the weakness and the crumbliness of Jewish nationalism.
 
Una uhakika na madai yako? Waliipora kwa nani?
Sasa ushaanza kujitoa ufahamu,unajua kuwa maandiko ya dini siyo legal binding?.
kwa ufupi legal huwezi kutumia maandiko kunyang'anya ardhi.
 
Ameshakuambia kua hayo anayoyasema yanasemwa sn ktk Vyombo vya habari na yanajulikana ata Mimi pia nayafahamu... Sasa unadai chanzo cha habari cha nini? Au ni ubishi tu mkuu?

Ndio hayo mataifa yako na uhusiano na Israel Lkn hapo nyuma baadhi yalikua na maadui wa Israel na pia ktk hizo nchi km Masri kuna makundi yasiyopenda mamlaka ya Tel aviv. Swali liko hapo hapo kwanini wasiinuke kuichapa Israel km wewe unavyoringanisha Israel na kundi la Hamas?
Hata mimi nayosema nayatoa katika media,tofauti ni kuwa mimi naweka,link,article na pia picha kama supporting evidence,yeye haweki.
 
Na nimesema hamasi wanatumia bunduki,israel wanatumia zana za kisasa.wapi nimesema hamas wako sawa na israel.?.
nimesema israel ni coward soldier with technology who prefer to bomb women and children from the sky.
 
Sasa ushaanza kujitoa ufahamu,unajua kuwa maandiko ya dini siyo legal binding?.
kwa ufupi legal huwezi kutumia maandiko kunyang'anya ardhi.

Bado hujanijibu swali langu.... Waliipora kwa nani au kwa watu gani?
 
Ameshakuambia kua hayo anayoyasema yanasemwa sn ktk Vyombo vya habari na yanajulikana ata Mimi pia nayafahamu... Sasa unadai chanzo cha habari cha nini? Au ni ubishi tu mkuu?

Ndio hayo mataifa yako na uhusiano na Israel Lkn hapo nyuma baadhi yalikua na maadui wa Israel na pia ktk hizo nchi km Masri kuna makundi yasiyopenda mamlaka ya Tel aviv. Swali liko hapo hapo kwanini wasiinuke kuichapa Israel km wewe unavyoringanisha Israel na kundi la Hamas?
Hata tanzania hapo nyuma ilipata kuwa adui na uganda,so haina maana uadui bado upo.
hata hapa tanzania kuna makundi yanachukia marekani,sijui kwanini wasi ichape marekani.
sioni logic katika maneno yako.
 
Hata mimi nayosema nayatoa katika media,tofauti ni kuwa mimi naweka,link,article na pia picha kama supporting evidence,yeye haweki.

Ok Hilo Halima shida..!

Nijibu swali langu kwanini mataifa ya kiarabu yasiivamie Israel km yana uwezo? Nitakutolea mfano kidogo, Israel ikikalia milima ya Golani kwa muda mrefu kidogo, na milima ya Sinai pia na imekua ikiingia ndani ya Palestine na kutoka Mara nyingi tu, imekua inaingia Lebanon pia...! Wakati Mwingine kutokana na hayo Matendo ya Israel baadhi ya mataifa ya kiarabu yalikua hayapendezwi na hivyo vitu na kutaka kuchukua hatua dhidi ya Israel Lkn Bado wanapishana ktk mikutano Yao na kila mmoja kutoka na msimamo wake.., kwanini sasa km wao waarabu wako na uwezo kwanini wasiipige Israel?
 
Hata tanzania hapo nyuma ilipata kuwa adui na uganda,so haina maana uadui bado upo.
hata hapa tanzania kuna makundi yanachukia marekani,sijui kwanini wasi ichape marekani.
sioni logic katika maneno yako.

Ktk hili huwezi ona logic kwasababu unajitoa ufahamu.. Lkn km Israel inakalia maeneo yasio halali, inaua watoto na wanawake wasio na hatia Ina askari waoga kwanini isipigwe na hayo mataifa kwa hivi vigezo,,,,, hayo mataifa yanashindwa nini kuichapa Israel yenye askari waonga??
 
Ok Hilo Halima shida..!

Nijibu swali langu kwanini mataifa ya kiarabu yasiivamie Israel km yana uwezo? Nitakutolea mfano kidogo, Israel ikikalia milima ya Golani kwa muda mrefu kidogo, na milima ya Sinai pia na imekua ikiingia ndani ya Palestine na kutoka Mara nyingi tu, imekua inaingia Lebanon pia...! Wakati Mwingine kutokana na hayo Matendo ya Israel baadhi ya mataifa ya kiarabu yalikua hayapendezwi na hivyo vitu na kutaka kuchukua hatua dhidi ya Israel Lkn Bado wanapishana ktk mikutano Yao na kila mmoja kutoka na msimamo wake.., kwanini sasa km wao waarabu wako na uwezo kwanini wasiipige Israel?
Tuanze na golani,ambalo ni tatizo la syria na si la nchi za kiarabu zote.
technically israel na syria bado ziko vitani,ndo maana kuna majeshi ya UN pale mpakani kuzuia vita.
syria kama ujuavyo iko busy na civil war kwahiyo suala liko pending.
 
Tuje na sinai,ambayo iko chini ya mamlaka ya misri ambao wana mkataba wa campdavid na israel kwahiyo sijui unaongea nini.
 
Golani iko Syria au Israel? Na km Golani iko Syria Huyo kidume Asaad alishindwa nini kuwafurumisha mayahudi kutoka ktk maeneo Yake mpk pale IDF walipotoka wenyewe?

Alafu hiyo Golani nimekutolea km mfano tu kwa Yale Israel imekua ikifanya ktk baadhi ya mataifa ya kiarabu..... Kwanini hatuoni ata km Iran na wao wakaivamia Israel au Misri na kuikalia kidogo???
 
Tuje na sinai,ambayo iko chini ya mamlaka ya misri ambao wana mkataba wa campdavid na israel kwahiyo sijui unaongea nini.

Nafahamu Lkn hapo awali Kabla ya mkataba kwanini Misri haikuwafurusha Hao askari waoga wakaondoka hapo Sinai???
 
Halafu tuje lebanon,baada ya israel kuvamia na kukalia kusini mwa lebanon,syria wakapeleka askari kuzuia wasifike hadi beirut na walifanikiwa na israel ikabaki kusini mwa lebanon mpaka ilipoanzishwa hezbulah na kuwatoa waisrael nje ya mipaka ya lebanon.ndo maana mpaka leo hezb wanasauti lebanon kwa ajili hiyo.
sasa au unataka lebanon wavamie israel?.
Katika tatizo la makaburu africa kusini uliona tanzania wamevamia pretoria?.
au kenya walishiriki vita vya kuikomboa africa kusini,ama uganda!
ndo ujue si kama unavyotaka wewe iwe.
 
Hata ukija kwa nyanja ya elimu gaza wako juu.ngoja ntakuwekea data.
hata ukija kwenye majengo licha ya israel kuzuia simenti bado gaza iko juu,tofauti na waisrael wanaishi kwenye kotaz kama za national housing za zamani hapa bongoland.
You must be kidding me.

This is part of Gaza. Enjoy Elungata
gazaspazzatura.jpg
 
Last edited by a moderator:
Halafu tuje lebanon,baada ya israel kuvamia na kukalia kusini mwa lebanon,syria wakapeleka askari kuzuia wasifike hadi beirut na walifanikiwa na israel ikabaki kusini mwa lebanon mpaka ilipoanzishwa hezbulah na kuwatoa waisrael nje ya mipaka ya lebanon.ndo maana mpaka leo hezb wanasauti lebanon kwa ajili hiyo.
sasa au unataka lebanon wavamie israel?.
Katika tatizo la makaburu africa kusini uliona tanzania wamevamia pretoria?.
au kenya walishiriki vita vya kuikomboa africa kusini,ama uganda!
ndo ujue si kama unavyotaka wewe iwe.

Mbona Maswali yangu hujibu? Aya Hizbola waliwatoa Waisrael ndani ya Lebanon..... Kwanini hizbu na wao kwa Masada wa Syria wasiende mpk ndani ya Israel na wao waikalie kidogo Israel yenye askari waoga? Wanashindwa nini na ujasiri wao na AK 47 zao?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom