Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Labda urudi kusoma iliendaje mpaka pakawepo mkataba wa campdavid ambao ndo ulisimamisha vita.
ila kwa ufupi baada ya israel kuwa kama inaishiwa silaha wali i blackmail marekani iwape silaha ama la watafyatua nyuklia.marekani wakaanza ku airlift silaha kwenda israel,hapo mrusi nae kuona ivo akatishia kuingilia kwa upande wa misri.marekani wakaona patazuka vita vya tatu ndo akaanzisha mazungumzo ya campdavid.
Ok kwanini Misri ambao wao Silaha hawakuishiwa wasivuke mpaka na kukalia maeneo ya Israel ata kidogo...? Au kwanini isiwatoe ktk hiyo milima mpk ya Misri baada ya kuonekana Hawa wameanza kuishiwa Silaha? Mbona hili swali hulijibu na unaleta story Za mitaani eti Israel ilitishia kutumua Nyuklia..? Unafahamu ni Silaha gani zilitumika na Waisrael ktk uvamizi wa Gaza mwaka 2008-2009 ambazo zilifanya IDF ikumbwe na kashfa? Km hapa Gaza walitumia hizo Silaha mbaya kwanini washindwe kuzitumia huko kwa Misri ktk Sinai? Au unabumbabumba hoja tu ilimradi kujifurahisha?