Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
IDF si wana makomando bana,kwanini wasiende nyumba hadi nyumba na kuwasaka hao hamas,badala ya kufanya capertbombing?.
then wanaripua mpaka generator la umeme,nalo sijui limewakosa nini.
Mara kadhaa makomando wa IDF wameendesha oparesheni Za kuvamia Nyumba na kukamata watu waliowataka... Au wewe hufahamu?
Ukijificha kwa Raia wa kawaida kutiwa Dhiki kubwa ni haki yako... Ndio Maana unaona Generator inalipuluwa...! Ni halali kabisa. Na si Hilo tu generator unaweza ukatiwa Dhiki na shida kibao mpk raia wako wakakuchukia na kukutoa huko ulikojificha au wakasaidia kuwainyesha maadui machimbo yako...! Au hujui hili?