Marekani ina kibarua kigumu Syria

Marekani ina kibarua kigumu Syria

Status
Not open for further replies.
Boycot Israel Product ni ndoto za mchana computer,simu unayotumia,vifaa vya hospitalini na mengine mengi made in Israel,Hiyo kitu ni maneno tu ni sawa na ukiwa Tanzania useme una-boycot bidhaa za Bakresa utakuwa unachekesha.Umeshindwa kunipa Resolution namba ngapi lililopitishwa kwenye hiyo Operation Protective Erge,mimi siamini kama kuna Resolution yoyote ilipitishwa maana wote waliona Janja ya Hamas huko Gaza ya kutoa kafara raia wa kipalestina.
Kiwanda gani israel wanatengeneza computer ama simu?.
wale wanatengeneza application ambazo hata mbongo mwenye certifcate ya computer science anatengeza.
wao wanauza nyanya,na vipapatio vya kuku wa kisasa.
 
Lakini hukulaani israel kuwafanya raia zake kama ngao,kwa kuhifadhi silaha zake maeneo ya raia?.au silaha za israel wanahifadhia timbuktu?

Haaaaahaaaa ISRAEL inalinda raia wake kwa IRON-DOM na HAMAS wanawalinda raia wao kwa kuweka Maroketi sehem wanazokaa ili wakishambuliwa raia wauwawe harafu wapate sababu ya kuilaumu Israel.
 
Bill gate on boycot israel product.
American billionaire and co-founder of Microsoft Bill Gates has sold a large stake of his shares in a British firm that does business with Israel's prison system and military, the Telegraph reported Friday.
G4S, an international company worth tens of billions of dollars employing over 600,000 employees worldwide, provides security systems to Israeli prisons and checkpoints in the West Bank.
According to the Israeli NGO Who Profits, in 2007 G4S signed a contract with the Israel Prison Service to provide surveillance systems to Israeli prisons, including Ofer, Ketziot and Megiddo, where Palestinian detainees are held as political prisoners without trial. Addameer, a Palestinian NGO advocating for the human rights of Palestinian prisoners, issued a call to action in April along with dozens of other Palestinian and international organizations urging Gates to divest from G4S.
Gates, considered the world's richest man, held a 3 percent stake in the company through his philanthropic Bill & Melinda Gates Foundation and private investment Cascade, estimated to be worth $167 million. It is unclear how many shares he still holds.
Addameer and other supporters of the Boycott, Divestment and Sanctions Movement issued a statementFriday expressing satisfaction with the move:
“We are glad the pressure on the Gates Foundation to divest from G4S is starting to work. We urge the Foundation to sell any remaining shares it still holds and release a public statement pledging not to invest in corporations profiting from Israel’s military occupation,” said Rafeef Ziadah, Senior Campaigns Officer at War on Want.
War on Want partner, Addameer Palestinian Prisoner and Human Rights Association added, 'we have been arguing that it is completely unacceptable for a charitable foundation to be investing in a company, like G4S, which participates in gross human rights violations against Palestinian political prisoners, including child prisoners. We welcome this step in the right direction.'”
 
Haaaaahaaaa ISRAEL inalinda raia wake kwa IRON-DOM na HAMAS wanawalinda raia wao kwa kuweka Maroketi sehem wanazokaa ili wakishambuliwa raia wauwawe harafu wapate sababu ya kuilaumu Israel.
Kwa macho makavu kabisa unalinganisha military capability ya israel na hamas?.
bado licha ya hamasi kupigana na bunduki tu israel waliufyata baada ya eti kujaribu vita vya ardhini,wakapoteza askari 67 ndani ya wiki ikabidi warudi nyuma na kuendelea kupigana na hamasi wakiwa futi 30,000 angani.
wakashindwa kuiteka gaza.
na mda huo nusu ya waisrael wakiishi mahandakini mchana na usiku hata kazi haziendi.
 
Mkuu naona Bado Uko ktk mada zako uzipendazo....!

Ni lini utaweza kutoa maoni ya yenye uwiano sawa kwa kila pande? Maana Mara nyingi ktk hoja zako huichukulia Israel nguvu zake Za kijeshi sawa na kundi la Hamas au Hizbola.
 
Sijui kwanini wayahudi ni waoga hivi,kha..!!.
JER2033_wa.jpg
 
Ila unabariki wamarekani wawili waliochinjwa na ISIS na wanashindwa kuona maelfu ya waarabu wanaochinjwa kama kuku hapa inaonekana kama mmarekani 1=waarabu maelfu kwa njinsi wanavyoshabikia kuchinjwa kwa wamarakani 2 na kushindwa kulaani kwa nguvu zote mauaji ya waarabu lukuki,mimi naamini binadamu wote ni sawa.

Sijaelewa unauzungumzia uislamu au unazungumzia waarabu?
 
Mkuu sjaelewa Syria kuna miundombinu gan mikubwa yenye gharama nyng adi Marekan na washrika wake waamue kuibomoa na kuweka vbaraka wao kuijenga na istoshe ukiangalia gharama wanazoingia kurusha ndege,mabomu wanayotumia,meli wanazotumia tayari hzo gharama za miundombinu ya Syria hazfui dafu labda kama kuna sababu nyngne.
When it comes to the matter of rebuilding the country, hatuongelei miundo mbinu tu mkuu. Rasilimali zote za nchi husika hutumika kuisimamisha hiyo nchi kwa Mara nyingine economically, socially and politically. So kinachoongelewa hapo ni kweli makampuni ya kimarekani na nchi marafiki ndio watakaochukua tenders zote za kuijenga Syria chini ya kiongozi watakayemuweka kusafe guard interests zao.
 
Mkuu naona Bado Uko ktk mada zako uzipendazo....!

Ni lini utaweza kutoa maoni ya yenye uwiano sawa kwa kila pande? Maana Mara nyingi ktk hoja zako huichukulia Israel nguvu zake Za kijeshi sawa na kundi la Hamas au Hizbola.
Uwiano upi sasa?, waisrael wana silaha za kisasa za kumteketeza binaadamu,lakini askari wao si jasiri,hamas wanatumia AK 47 na fataki lakini ni majasiri
 
Kiwanda gani israel wanatengeneza computer ama simu?.
wale wanatengeneza application ambazo hata mbongo mwenye certifcate ya computer science anatengeza.
wao wanauza nyanya,na vipapatio vya kuku wa kisasa.

Niko safarini tu kesho nitakupa vitu ambavyo inatengeneza utashangaa kuna vingine watu wanajua vinatengenezwa Ulaya kumbe ni Israel ni vingi mno hadi vifaa vya maabara nk kesho nitaweka hapa.Ndugu haiwezekani ku-boycot bidhaa za Israel utasababisha maafa kwa watu wengi sana hapa Duniani,Ila kama kuimba ngonjera basi tuendelee kuimba
 
Uwiano upi sasa?, waisrael wana silaha za kisasa za kumteketeza binaadamu,lakini askari wao si jasiri,hamas wanatumia AK 47 na fataki lakini ni majasiri

Majasiri kivipi?kuwafanya raia kuwa kinga????
 
Iron dome si ipo?.
ukweli ni kuwa hiyo system haikuwa inapeform kama walivyokua wakipigia debe.

Bila IRON-DOME kungetokea madhara makubwa sana kwa Israel silaha hiyo imelinda raia wa Israel kutokana na Maroketi yaliyokuwa yakivurumishwa na Hamas
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom