Marekani imeanza ku-test Mitambo

Kwa bahat mabaya iran sio yemen kuwa akiishambulia usa ataendelea kubaki hapo masharik ya kati asahau kuhusu hilo vitaa na iran maana yake ni kuwafungulia wafungwa wa gulf contry waliopo utumwan miaka nenda rudi na nafikir wanataman hilo litokee ili wapate uhuru wao .. pia usa hawezi kushinda iran maana yake jamaa wataleta mamelia kitu ambacho kwa iran ni rahis sana kukilenga hata ikiww kilometa 2000
 
Israel kupigana na Iran ni kichekesho eneo lake ni dogo hizo submarine vinapaki wapi Iran asizisabaratishe na vinapakia wapi siraha ....vita vya irani ni baina ya Marekani au na MATO dhidi ya Iran Israel itoe hapo kabisa.
 
Kwenye weak country kama za kwetu nakubali ila kwa nchi zenye strong airdefence na makombora hawawezi kuzipeleka huko kamwe
 
Achia mbali direct cost za vita ila indirect cost ni kubwa sana gulf counrty kama UAE bahrain QAtari saudia na kuweit wafalme watawahi mahekelau yao waliojejengea huko ughaibun maana yake pale usa atawapoteza watiifu wao na wamekaa kama madictator na tawala za kifalme pale itakuwa ndo bye bye makampuni ya usa nayo yatapoteza kwa ujumla uchumia wa dunia utasimama kwa mda na imigration ya kufa mtu .. vita ya iran ni zaid ya vita sio kama ya libya
 
Kwenye weak country kama za kwetu nakubali ila kwa nchi zenye strong airdefence na makombora hawawezi kuzipeleka huko kamwe
B-52 Stratofortress bomber can attack Russia. It's a long-range, heavy bomber designed for various missions, including nuclear and conventional strikes, and it can carry a wide array of weapons. The B-52's capabilities allow it to target locations within Russia, and it has been deployed in areas near Russian borders as a show of force.
 
Kwa hiyo yeye usa atatumia kitu gani kumfikia iran ndege bomba inauwezo wa kuruka 35000 km bila kuwa refiled na kumbuka hiyo to and from maana yake ni 7000 kilomiter huko
 
Kwa hiyo hata sisi wenye imani moja na yeye anatuona makafirs?Huo ni uonevu wa hali ya juu sana.
  • Nyie ndyo mmezidi kuoneana, Shia anamwona Sunni si mwislamu kamili and vice versa, mbona wanauana sana
  • Iran ni nchi ya kiislamu, official religion ni Shia, minority Sunni (5-10%) ni daraja la chini na hawapewi vyeo vya juu vya maamuzi kitaifa
 
  • Nyie ndyo mmezidi kuoneana, Shia anamwona Sunni si mwislamu kamili and vice versa, mbona wanauana sana
  • Iran ni nchi ya kiislamu, official religion ni Shia, minority Sunni (5-10%) ni daraja la chini na hawapewi vyeo vya juu vya maamuzi kitaifa
Acha hivyo ndugu.Mbona tukienda Mecca tunampiga shetani kwa pamoja?
 
Kwa hiyo yeye usa atatumia kitu gani kumfikia iran ndege bomba inauwezo wa kuruka 35000 km bila kuwa refiled na kumbuka hiyo to and from maana yake ni 7000 kilomiter huko
  • Intercontinental Ballistic Missiles (ICBMs), ikirushwa toka US inapiga Iran kona yoyote
  • B-52 Stratofortresses became the first jet aircraft to circle the world nonstop -hili dude linaweza kufika Iran bila refueling
  • The United States maintains a considerable military presence in the Middle East, with forces in more than a dozen countries and on ships throughout the region’s waters. That presence expanded in 2024 as the United States focused on deterring and defeating threats from Iran and its network of armed affiliates in the region, including Hamas (Gaza Strip), Hezbollah (Lebanon), the Houthis (Yemen)..
 
Acha hivyo ndugu.Mbona tukienda Mecca tunampiga shetani kwa pamoja?
Si mnakuwa kwenye ibada, nenda kaishi kwao uone moto wake
"In Iran, the Shia majority has historically discriminated against the Sunni minority, including through persecution and violence"
..yaani wanvyoishi ni kama hutu na Tusi wa Rwanda/burundi
 
Si mnakuwa kwenye ibada, nenda kaishi kwao uone moto wake
In Iran, the Shia majority has historically discriminated against the Sunni minority, including through persecution and violence.
Oooh!Roho mubaya sana hiyo Segregation?
 
Bado wanakazi ya kufanya wanaanzisha, baadaye wanatia huruma marekani bado ananguvu labda tuwachangiie hawa wakora.
 
Kazi kipimo cha utu muirani akimtandika kama mtoto wake kataifa kanakoitwa Israel macho yako yanaona kama nianavyo mm embu !!

Embu mwenye picha Iran ikipigwa arushe apa tupime tutoe ukumu nani zaid !!!

pia juu kuna picha Wana jesh wa Marekani wakipigishwa magoti na IRAN aibu kubwa kwa taifa tunaloambiwa ni kubwa na mindege yake aibu ndugu Echolimai embu chutama !!! huuu ushaidi kwann Iran akuna wakujalibu kuigusa... naongea na picha sio maneno tupu. Njooni walokole???
 

Attachments

  • 6018105-4fce2298a66f9172a7e260b8bd4626d6.mp4
    15.3 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…