Marekani haitatamalaki katika utukufu tena

Bye bye kiranja

FB_IMG_1636610286138.jpg
 
Jamaa hawa wabishi sana na vig'ang'anizi, sijui wanaishi Duniani gani?? Wanaona wazi wazi the "beginning of the end" ya Taifa lao lakini wapi bwana!!

Juzi hapa nilishangazwa sana na viongozi wa kijeshi wa utawala wa Biden walipo kusanya NATO members kwenda kufanya mazoezi makubwa ya kijeshi ndani ya Black Sea,USA vile vile ilitangaza ina mpango kuweka/jenga Naval bases Romania na Bulgaria au Poland.

Hii inaonyesha wazi kwamba maendeleo na teknilojia ya silaha za kijeshi ya mataifa ya Urusi na China scares a living day lights out of Uncle SAM's psych and like mind, narudia kukumbusha kwamba ukweli huo ndio unawafanya jamaa hawa wachanganyikiwe sana, yaani wako radhi kufanya lolote kwa lengo la ku-provoke Urusi au Uchina for duel of which they can't win.

Dalili zinavyo onyesha ni wazi kabisa kwamba Dunia hivi sasa inajongea taratibu kwenye WW3, hivyo wanadamu tunapaswa kumuomba mwenyezi Mungu kutuhepushwa na hilo ili katika katika tapa tapa ya USA majenerali wao wasije kufanya miscalculation wakajitia ku spring up a surprise attack dhidi ya majeshi ya Urusi au China - USA ikumbuke kwamba ikifanya ujinga huo Taifa lao litachajazwa vilivyo kwa mara ya kwanza katika historia ya Taifa lao aridhi yao itashambuliwa - sisemi Urusi au Uchina zitapata madhara kidogo lakini bado USA ndio itachakazwa zaidi na kibaya zaidi USA wala hawana kinga dhidi ya makombora ya kisasa ya mataifa ya Urusi na China.
 
Dalili zinavyo onyesha ni wazi kabisa kwamba Dunia hivi sasa inajongea taratibu kwenye WW3, hivyo wanadamu tunapaswa kumuomba mwenyezi Mungu kutuhepushwa na hilo ili katika katika tapa tapa ya USA majenerali wao wasije kufanya miscalculation wakajitia ku spring up a surprise attack dhidi ya majeshi ya Urusi au China[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Jamaa hawa wabishi sana na vig'ang'anizi, sijui wanaishi Duniani gani?? Wanaona wazi wazi the "beginning of the end" ya Taifa lao lakini wapi bwana!!

Juzi hapa nilishangazwa sana na viongozi wa kijeshi wa utawala wa Biden walipo kusanya NATO members kwenda kufanya mazoezi makubwa ya kijeshi ndani ya Black Sea,USA vile vile ilitangaza ina mpango kuweka/jenga Naval bases Romania na Bulgaria au Poland.

Hii inaonyesha wazi kwamba maendeleo na teknilojia ya silaha za kijeshi ya mataifa ya Urusi na China scares a living day lights out of Uncle SAM's psych and like mind, narudia kukumbusha kwamba ukweli huo ndio unawafanya jamaa hawa wachanganyikiwe sana, yaani wako radhi kufanya lolote kwa lengo la ku-provoke Urusi au Uchina for duel of which they can't win.

Dalili zinavyo onyesha ni wazi kabisa kwamba Dunia hivi sasa inajongea taratibu kwenye WW3, hivyo wanadamu tunapaswa kumuomba mwenyezi Mungu kutuhepushwa na hilo ili katika katika tapa tapa ya USA majenerali wao wasije kufanya miscalculation wakajitia ku spring up a surprise attack dhidi ya majeshi ya Urusi au China - USA ikumbuke kwamba ikifanya ujinga huo Taifa lao litachajazwa vilivyo kwa mara ya kwanza katika historia ya Taifa lao aridhi yao itashambuliwa - sisemi Urusi au Uchina zitapata madhara kidogo lakini bado USA ndio itachakazwa zaidi na kibaya zaidi USA wala hawana kinga dhidi ya makombora ya kisasa ya mataifa ya Urusi na China.
Nye nye nye[emoji1]
 
Hawa jamaa kwenye mission hatarishi Wana usiri wa hali juu, nani alijua WWII kama wangekuja na bomu la nyukilia, na sasa hivi wanajua wanawindwa kila Kona, isije kuwa wana likitu lingine ambalo ulimwengu haujuhi. Na huwezi kusema hawana kinga dhidi ya makombora ya Urusi na China na wakati wanajua fika threat ya kitu kama hicho kwao, kwahiyo ni ngumu Sana kudhibitisha hilo.
 
Sio wao tu...sahivi wote wana siri zao ndo maana wanaogopana nani amuanzishie mwingine
 
Who are you sure will shine rather than America ?

Aliye juu yuko juu mtani.

Hata ukipanda juu ya kichwa chake kukuporomosha ni very easy tu.

Darasani utajitahidi kuchukua namba one ila mwenye namba yake atakudondosha tu.
 
Putin who don’t care about sanctions just got pissed and reacted to sanctions
 
Uliona mbali, Leo hii kwa ubabe wa Marekani tulitegemea angaingia kumsaidia Ukraine. Ila washaufyata
 
Back
Top Bottom