Marejesho roho inaniuma ila sina jinsi

Marejesho roho inaniuma ila sina jinsi

Najaribu tu
I had a girlfriend
Am very happy with my lover
Utawajua tu waliokimbilia physics
 
Habari wana JF

Siku 3 zilizopita nilileta mkasa hapa kuwa i have girlfriend na inabidi nikaishi far away nae kutokana na sababu zilizopo nje za uwezo wetu namshukuru Mungu tumeweza kuyamliza salama kabisa na tumeeweza kuongea na Pande zote mbili upande wa familia yangu na yao kuna agreement tumeafikiana now we so happy asante sana wana Jf walionishauri vizuri nashukuruni kwa ushauri wenu asanteni sana.


Na pia kuna ambao waliodiriki kunitukana nakusema mimi eti ni mwanafunzi na hii habari meiona kwenye yamthilia kwakweli nimeona bora nikae kimya na sikuwajibu chochotee, na nyie pia mbarikiwe sana.

Am very happy with My love.. asanteni kwa ushauri wenu wana Jf kwa wale walionidhihaki pia Mbarikiwe mimi sio mwanafunzi wa Form 2 am 25 yrs Old.

I didn't lose a friends but I just realize i never had one(fo dem who insults me)
Wewe indiot, hivi unaleta habari nusu nusu yenye mafumbo manake nini? Ukue ua he utoto wewe njuka aka fomu ine
 
Lakini tatizo moja
Mzungu anapokua anaongea kiswahili hata kama anakosea hua wenzake wanamsifia lakini sisi weusi, ukikosea tu tense au gramma mtu anakuchamba
Sijui utamaduni wetu ni upi.....?
 
Ma - Ex's Wetu Mara Nyingi Tukikutana Nao Huwa Wanatamani Watuone Tumepigika Zaidi.Hata Umtumie Text Unaomba Akukope Hata Angalau 10K.

Muda Mwingine Anatamani Akuone Umekonda Sana Huna Afya Ya Kuridhisha, Kwake Ndio Furaha.

Au Akuone Kila Siku Unagombana Na Konda Kuhusu Nauli.
 
Mkuu usichoke kwa maneno ya watu huwezi ukapendwa na watu wote sema usiwe mtu wakuweka kitu moyoni hayo ndoo maisha
 
Dah...mie huwa naona ajabu mtu kuomba ushauri wa kuhusu mapenzi...akili za ajabu sana...
 
Nimecheka kishenzi mkuu we chomeka chomeka hivyo hivyo utajua tu wakikukosoa ndio unapotafuta njia ya kusahihisha usiogope kukosolewa kama jiwe
 
Inasikitisha sana kuona uzi unaenda mbio hivi na mwenye nao kauhama
 
Back
Top Bottom