Marejesho roho inaniuma ila sina jinsi

Marejesho roho inaniuma ila sina jinsi

Habari wana JF

siku 3 zilizopita nilileta mkasa hapa kuwa i have girlfriend na inabidi nikaishi far away nae kutokana na sababu zilizopo nje za uwezo wetu .Namshukuru mungu tumeweza kuyamliza salama kabisa na tumeeweza kuongea na Pande zote 2 upande wa Familia Yangu na Yao kuna agreement tumeafikiana .Now we so happy Asante sana wana Jf walionishauri vizuri nashukuruni kwa ushauri wenu asanteni sana.


Na pia kuna ambao waliodiriki kunitukana nakusema mimi eti ni mwanafunzi na Hii habari meiona kwenye Tamthilia kwakweli nimeona bora nikae kimya na sikuwajibu chochotee, Na nyie pia mbarikiwe sana.

Am very happy with My love.. asanteni kwa ushauri wenu wana Jf
kwa wale walionidhihaki pia Mbarkiwe
mimi sio Mwanafunzi wa Form 2 am 25 yrs Old.

I didn't lose a friends but I just Realize i never had one(fo dem who insults me)
I didn't lose a friends ndo nini?
 
Mada imekuwa LUGHA sasa....kwa mtaji huu tusiojua Kiingereza sijui tutafanyia wapi mazoezi? Wenye lugha yao wanasema PRACTICE MAKES PERFECT sijui nimepatia?
 
Kuwa mwanafunzi si lazima uwe unasoma fikra za mawazo yako na huo umri wa 15 vinatosha kukutunuku hiyo sifa.
 
Nadhani sasa ni wakati sahihi kabisa kuhimiza watu kutumia kiswahili maana unaona mtu anajaribu kutumia cha malkia chali......

Akija tena kwa hiki alichotupa nyerere nacho chali.....

Bora tukakomaa na hiki cha nyerere kidogo kuna mwelekeo lkn sio hicho cha malkia
 
Ule uzi wa mwanzo unasemaje wengine hatukuusoma
 
Usisahau kutupia kapicha kule grupu pendwa la wakubwa
 
Back
Top Bottom