Marejesho roho inaniuma ila sina jinsi

Marejesho roho inaniuma ila sina jinsi

Quan Lup

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
710
Reaction score
1,006
Habari wana JF

Siku 3 zilizopita nilileta mkasa hapa kuwa i have girlfriend na inabidi nikaishi far away nae kutokana na sababu zilizopo nje za uwezo wetu namshukuru Mungu tumeweza kuyamliza salama kabisa na tumeeweza kuongea na Pande zote mbili upande wa familia yangu na yao kuna agreement tumeafikiana now we so happy asante sana wana Jf walionishauri vizuri nashukuruni kwa ushauri wenu asanteni sana.


Na pia kuna ambao waliodiriki kunitukana nakusema mimi eti ni mwanafunzi na hii habari meiona kwenye yamthilia kwakweli nimeona bora nikae kimya na sikuwajibu chochotee, na nyie pia mbarikiwe sana.

Am very happy with My love.. asanteni kwa ushauri wenu wana Jf kwa wale walionidhihaki pia Mbarikiwe mimi sio mwanafunzi wa Form 2 am 25 yrs Old.

I didn't lose a friends but I just realize i never had one(fo dem who insults me)
 
Habari wana JF

siku 3 zilizopita nilileta mkasa hapa kuwa i have girlfriend na inabidi nikaishi far away nae kutokana na sababu zilizopo nje za uwezo wetu .Namshukuru mungu tumeweza kuyamliza salama kabisa na tumeeweza kuongea na Pande zote 2 upande wa Familia Yangu na Yao kuna agreement tumeafikiana .Now we so happy Asante sana wana Jf walionishauri vizuri nashukuruni kwa ushauri wenu asanteni sana.


Na pia kuna ambao waliodiriki kunitukana nakusema mimi eti ni mwanafunzi na Hii habari meiona kwenye Tamthilia kwakweli nimeona bora nikae kimya na sikuwajibu chochotee, Na nyie pia mbarikiwe sana.

Am so happy with My love.. asanteni kwa ushauri wenu wana Jf
kwa wale walionidhihaki pia Mbarkiwe
mimi sio Mwanafunzi wa Form 2 i have 25 yrs Old.

I didn't lose a friends but I just Realize i newer had one(fo dem who insults me)

Mkuu pia ongeza juhudi kwenye lugha ya malkia, inaonekana unaipenda japo yenyewe bado haijakupenda.

Ila tunajifunza kutokana na makosa.
 
typing error mkuu iam 25 yrs old i think hapa ndo nilopkoseaa

Siyo hapo tu mkuu, karibia kila sehemu ulipoweka kilugha hicho.

1. i have girlfriend
2. Now we so happy
3. Am very happy with My love..
4. am 25 yrs Old.
5. I didn't lose a friends but I just Realize i newer had one(fo dem who insults me)

Zote hizo zina makosa.
 
Kaka kingereza akikutaki kabisa tumia ata kilugha tu ndio maana watukanwa unapohtaji msaada jaribu kuaandaa mazingira ya kusaidika kwa urahisi
 
typing error mkuu iam 25 yrs old i think hapa ndo nilopkoseaa
sio hapo tu mkuu fuata ushauri ulioambiwa tafadhali "... hii reply yako imezidi kudhihirisha kuwa kikristo bado kina kupiga chenga maana ijapo kuwa umejibu kwa lengo la kujisahihisha lakini umeshindwa kung'amua tatizo
 
sio hapo tu mkuu fuata ushauri ulioambiwa tafadhali "... hii reply yako imezidi kudhihirisha kuwa kikristo bado kina kupiga chenga maana ijapo kuwa umejibu kwa lengo la kujisahihisha lakini umeshindwa kung'amua tatizo
Hahahah kweli kikristo
 
Back
Top Bottom