naomba kukuuliza swai wewe umejiunga juzi tu umesha pajua leo tupo hapa pub?? kwa siku tatu na post zako 50 umesha make friends na kuwa mwenyeji kiasi hiki?? samahan kama ntakuudhi mpendwa
with due respect, i am real very sorry for what i have done to you.Kwanini hujibu sms zangu?
with due respect, i am real very sorry for what i have done to you.
you know how much you are a good friend to me and how much you deserve the best out of me.
on bended knees with full of respect and love am sorry dear Asprin.
Wow,I love you too!!Nakupenda sana, and I mean it.
ninalo mwaya....nimelitunza kuna mtu nataka nikamuonyeshe....
Mwaya litunze kabisa !Au tukadai lile bukee la paleeeeee?
NAONA UNAVUKA MIPAKA SASA, NIMEKUELEWESHA KWANINI NILILIANDIKA, ILA BADO UNAKOMALIA. ujawai kuona mtu anaandika kitu au neno kutokana kulisikia wakati anaandika? Pls nakuomba uondoe iyo post hapo tena uliyo ikoleza rangi, na hii ambayo nai quote..
Acha mikwara weweee....kwani si we mwenyewe umeandika ulichoandika khaaa!!!....kama umekosea unaomba samahani sio kutishitishia watu.
Kama umekasirika basi meza hiyo dadavuzi yako
Kwa hiyo lile lilikuwa ni analogia? Mie nataka la digitali kama ndio hivyo!!!ahahahaaaa...........lile bana tumuachie mweyewe....nahisi limeshanyauka..........
msalimie mamy!!!
mie mzima tu! majukumu ndo yananifanya nabipbip humu! vipi hali yako na famile yako?
tu wazima kabisa mamii ila tu wewe umenipotezea ile mbaya ama umesusa kuja kijijini?? karibu bana his time ule japo bata lolz!
sasa kwa kujiunga tu majuzi umeweza kuwajua wana CC kwa sura?? mnake umesema umekwenda leo tupo hapa sasa umepajuaje?? na ulihakikisha vp kwamba ulowakuta sio wana CC??Ukarimu na Ucheshi wa Jf Chit Chat ulinifanye nijiunge na Jamii Forum, nilikua na peruzi kwa kutumia ID ya mfanyakazi mwenzangu yupo humu humu Chit Chat, ila sasa ivi yeye kajitoa kwa mda kwa ajili ya majukumu ya kiofisi mda mwingi anakua nje ya mtandao, ndio maana haijawa shida mie kuzoe mazingira ya humu jamvini.
Kwa hiyo lile lilikuwa ni analogia? Mie nataka la digitali kama ndio hivyo!!!
Mamy hajambo,naye anakusalimia
Shikamoo dada mkubwa... Happy Valentine... Kiukweli hata mie kanichanganya kama sio kunimix.. Kuna mahali kaandika "Nikija hapo (yaan serena) nitapata hubby wa kuniliwaza"
Mie nikamjibu "Wote waume za watu bidada".... Mwee kidogo anitoe majicho.....
Hivi nini maana ya neno "hubby"????
ID mpya, mtu yule yule. ni mtu mke ila ameamua kuja ki kiume. .
usijali kipenzy. Mie napendaga za kijijini, kutaaamu ati...manake kama ni bata unampata orijino1
ngoja niweke mambo sawa ntakucome that way soon!
Hahahaaaaaa...... Hajui kucheza na multiple IDs.... :becky: :becky: