Marehemu Roy alikuwa anajua sana

Al-Watan

Al-Watan

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Messages
11,993
Likes
14,282
Points
280
Al-Watan

Al-Watan

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2009
11,993 14,282 280
Mi Regina nlikua naipenda haswa!
Steve 2k yule mshikaji aliyemuua(Castro) hivi ashatoka jela?
Enzi zile ray c ndo queen wa bongo fleva alitiwa makofi na kajala siku moja baada ya kuskia anatoka nae

Halafu Amit nae kamla ray c
Dah. Umenikumbusha mshkajibwangu Steve 2K.

Yani jamaa ni binge ka optimist sijawahi kuona.

Mnaweza kuwa katika bonge la jam unataka kuchachawa, Steve ndo kwanza anacheka kicheko chake cha ki clown, halafu anakwambia "bro, mambo yatakuwa poa tu". Ukimuuliza details yatakuwaje poa anakwambia poa tu (hata yeye hajui hapo, ila yuko positive mpaka inatisha).

Na kweli mambo yanakuwa poa mnamaliza zali.

Jamaa alikuwa bonge la optimist.

R.I.P
 
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
7,894
Likes
7,629
Points
280
Age
30
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
7,894 7,629 280

Vipi casto ashatoka segerea?
 
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
7,894
Likes
7,629
Points
280
Age
30
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
7,894 7,629 280
kukodi red ya ukweli ni laki 6 per day..nani anataka presha!?
Vizuri gharama maana red sijui version latest niliona thamani yake unanunua range toka south na chenji inabakibkwa ajili ya kulitia mafuta miezi kadhaa
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,184
Likes
39,541
Points
280
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,184 39,541 280
Dah nikiukumbuka huu wa Siamini wa Matonya pamoja na ule wa Mb Dogy, Mapenzi kitu gani nakumbuka mbali sana.
Ndio nyimbo zilizonifanya nikatiwa mimba miaka ile ya 2005.
Dah!
Kila nikizisikiliza nyimbo hizi, nakumbuka bikra yangu niliyopoteza kwa kwenda Club miaka hiyo kusikiliza hizi nyimbo.
R.I.P Roy ndani ya G2
:D:D:D:D:D
 
inamankusweke

inamankusweke

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Messages
5,138
Likes
3,194
Points
280
Age
31
inamankusweke

inamankusweke

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2014
5,138 3,194 280
Vizuri gharama maana red sijui version latest niliona thamani yake unanunua range toka south na chenji inabakibkwa ajili ya kulitia mafuta miezi kadhaa
red so mchezo
 
kedrick

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Messages
4,372
Likes
3,055
Points
280
kedrick

kedrick

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2015
4,372 3,055 280
Hivi nini kilimtoa uhai Roy?
The man was talented na alipofariki naona mdogo wake enika naye mziki aliupa kisogo.
Yule dada anajua sana nikikumbuka ngoma yake ya baridi kama hii, nimekubamba sijakubamba, wimbo wa makamoa aliomshirikiaha enika wa baby please, nako2nako- hawatuwezi
Aids
 
Tobinho

Tobinho

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Messages
1,840
Likes
1,632
Points
280
Tobinho

Tobinho

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2014
1,840 1,632 280
Ma producer na studio kibao zimepotea kama sound crafters, kama kawa records, fm studios, fish crab naye simskii
Kuna ngoma aliigonga lamar ya mandojo na domokaya inaitwa we nenda naikubari mpaja kesho
Lamar barna nae alikuwa ana mizuka yake hatariii...sijui alipuliza vitu gani siku anatengeneza ile ngoma ya Geez mabovu(R.I.P mwanangu wa ukweli) ft. Jay Mo mbakiaji,Ngosha the don and Chidi Benzino...daah ile ngoma ina mzuka wa hatari sanaaa.
R.I.P Roy...huyu jamaa alikuwa anatandika bass flan hivi daah hatariii
 
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Messages
33,664
Likes
41,587
Points
280
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2014
33,664 41,587 280
Castro ndiye alimuua steve 2k bwanake joan.
Sina hakika hadi matonya alimuimba kwenye dunia mapito prod by roy again.
Nani alimkata makofi mwenzake kajala au ray c?
Dah ray c nlikuwa nikuona tumbo lake nasema ayaah yaaah kama kwenye she got gwan
Kajala alimzibua ray c makofi mazuri tu
Halafu yule dogo wa kwenye "sogea"wa ray c nae kamla ray c yule
 
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Messages
33,664
Likes
41,587
Points
280
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2014
33,664 41,587 280
Salama akimpenda mtu uwa hamkosoi.
Yah alipoanza ponda video zikaanza boreshwa.
Kuna wimbo nilikuwa naupenda wa k-lyne ft jaymo- nikipata wangu, salama aliponda video na zile helcopter hadi nkaichukia
kweli lakini
 
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Messages
33,664
Likes
41,587
Points
280
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2014
33,664 41,587 280
Dah. Umenikumbusha mshkajibwangu Steve 2K.

Yani jamaa ni binge ka optimist sijawahi kuona.

Mnaweza kuwa katika bonge la jam unataka kuchachawa, Steve ndo kwanza anacheka kicheko chake cha ki clown, halafu anakwambia "bro, mambo yatakuwa poa tu". Ukimuuliza details yatakuwaje poa anakwambia poa tu (hata yeye hajui hapo, ila yuko positive mpaka inatisha).

Na kweli mambo yanakuwa poa mnamaliza zali.

Jamaa alikuwa bonge la optimist.

R.I.P
Nivunje vunje vunjaaaa
Hili shuga mamiii
RIP Steve 2k
 
K

Kagi Rasta

Senior Member
Joined
Oct 20, 2016
Messages
165
Likes
238
Points
60
K

Kagi Rasta

Senior Member
Joined Oct 20, 2016
165 238 60
Dah uzi mzur sana huu asee nimesoma mwanzo mwisho
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
22,748
Likes
29,567
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
22,748 29,567 280
Dah nikiukumbuka huu wa Siamini wa Matonya pamoja na ule wa Mb Dogy, Mapenzi kitu gani nakumbuka mbali sana.
Ndio nyimbo zilizonifanya nikatiwa mimba miaka ile ya 2005.
Dah!
Kila nikizisikiliza nyimbo hizi, nakumbuka bikra yangu niliyopoteza kwa kwenda Club miaka hiyo kusikiliza hizi nyimbo.
R.I.P Roy ndani ya G2
Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
22,748
Likes
29,567
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
22,748 29,567 280
mikamwamba..alitengeneza ngoma moja inaitwa tamala...cjui ya nani....hatar kwa vinanda
Miikamwamba ni mtu hatari sana huyo ..tamala ni ngoma ya hard mad ... halafu hakuishia kwenye tamala tu

Daz nundaz barua .. ino Mick zig d ..baby gal mad ice .. salome dully sky's ..na mangoma mengine kibao ..yaani miika nimtu mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,251,664
Members 481,836
Posts 29,779,678