Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

Ukisoma comments za wananzengo hapa ndio utajua kuna watu wengi sana wanaishi maisha ya kuigiza ili kuwaridhisha watu wengine badala ya kuishi na kifurahia maisha yao

The likes of Kibonde Gardina walikua wanaishi maisha yao waliokuwa wanayafurahi bila kujali wengine mnawachukuliaje
Kikubwa ni usiwe na roho mbaya kwa wengine
 
HOnestly, mbali na picha zake, huyo jamaa sikuwah kumjua, sikuwah hata kusikia vipind vyake hata sauti Yake sikuwah kuijua hata clip ya video yake sikuwahig kuiona ndio saa hii namjua sasa
Mimi nilikua nafuatilia kipindi cha reality show yake yeye na jide Eatv
Alikua ni mkimya na msikivu, sio mwanaume mkorofi
Naona alikua anaishi kama vile hakuna kesho yeye nikuenjoy tu

Kitu kikubwa nilichojifunza kwake ni kufurahi muda wote..!
 
Ukisoma comments za wananzengo hapa ndio utajua kuna watu wengi sana wanaishi maisha ya kuigiza ili kuwaridhisha watu wengine badala ya kuishi na kifurahia maisha yao

The likes of Kibonde Gardina walikua wanaishi maisha yao waliokuwa wanayafurahi bila kujali wengine mnawachukuliaje
Kikubwa ni usiwe na roho mbaya kwa wengine
Sikuwahi kusikia ana ugomvi na mtu, Alikua ni mtu na nusu muda wote kwake ni bata misosi ya kutosha drinks usipime
 
Huyo mwamba anavyo pambwa na hiyo cmg yao...unaweza sema alikuwa malaika.

But... Tumekubaliana kuwa marehemu hasemwi kwa ubaya.
Marehemu sioni kama ana baya. Mtangazaji definition yake ni mropokaji. Imagine kazi ambayo kila siku uwe na mada ya kuongea na iwavutie watu. Ni kazi ngumu sana. Miaka zaidi ya 20 wewe tu ndio ulete topic redioni ndio maana kuna watangazaji hawataki kuumiza kichwa wameweka segment ya msikilizaji kupiga simu mtangaze na nyie😂
 
Mimi nilikua nafuatilia kipindi cha reality show yake yeye na jide Eatv
Alikua ni mkimya na msikivu, sio mwanaume mkorofi
Naona alikua anaishi kama vile hakuna kesho yeye nikuenjoy tu

Kitu kikubwa nilichojifunza kwake ni kufurahi muda wote..!
Mbona sifa zake wanavyomuelezea hapa watu si kama wewe unavyomuelezea?
 
Mbona sifa zake wanavyomuelezea hapa watu si kama wewe unavyomuelezea?
Kwa kile alichokua anakifanya mimi nimeangalia positive side
Kunywa pombe na misosi ya gharama kila siku kwetu watazamaji inatukera nini? Lakini tunajudge alikua mfujaji pesa

Kutembea na mabinti wadogo kwetu inatukera nini wakati wamekubaliana wenyewe ila tunajudge alikua malaya

Ukiuliza ashawahi kugombana na nani sidhani kama kuna mtu atajitokeza
 
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe tajiri

Mara ya mwisho nilisikia binti yake amezalia nyumbani kwake

Kwa kifupi marehemu alikuwa na maneno ya kashfa Sana na hili CMG hawalisemi
Kwani umasikini ni sifa?
 
Wanaume mnajifaragua tu, ila ni ndoto ya lila mzazi mtoto wake kuolewa na tajiri. Ila sasa ndio vile tena inapobidi unamshukuru tu Mungu kwa kila kitu.
 
Keshatangulia mbele ya haki; mwacheni apumuzike. Kama kuna ya kujifunza kutokana na maisha yake tujifunze ili yatusiadie tuliobaki lakini tusimlaumu marehemu akiwa kaburini kwani hawezi kujitetea.
Ndugu zake watajitetea tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom