Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

Maisha ya wabongo bana!! Sasa yule ni binti yake yaani ni mali yake. Kama alisema ataolewwa na tajiri, fresh tu, ni mali yake hapangiwi na mtu.

Kama mambo hayajaenda kama yalivyopangwa ni poa tu na ni kamwaida sana kupanga mipango yako na maisha yakakupangia yenyewe.

Sasa wabongo tusipende kuhangaika na maisha ya watu, hangaika na yako maisha yasonge
 
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe tajiri

Mara ya mwisho nilisikia binti yake amezalia nyumbani kwake

Kwa kifupi marehemu alikuwa na maneno ya kashfa Sana na hili CMG hawalisemi
Hakupiga kweli maana nasikia walikuwa wanalala pamoja
 
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe tajiri

Mara ya mwisho nilisikia binti yake amezalia nyumbani kwake

Kwa kifupi marehemu alikuwa na maneno ya kashfa Sana na hili CMG hawalisemi
Hakuna mzazi anayependa mwanae aolewe na fukara .

Mzazi kamtunza mwanaye mpaka alipofikia sasa ili akukabidhi lazima ahakikishe wewe ni mtu sahihi kwake na unaweza kumudu mahitaji yake.
 
Nashngaaa mijittu inamsifia na kumpa sifa kedekede mtu asiye fah kwenye jamii
Unashangaa nini sasa?

Mbona wewe ni useless na Bado tunasoma posts zako

Hakuna ubwege Kama kuona wenzako hawafai

Jamaa alikua na upendo, mtu wa kujitoa na asiyenyanyua mabega

Tuje kwako sasa…. Hakuna hata pa kuanzia, useless
 
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe tajiri

Mara ya mwisho nilisikia binti yake amezalia nyumbani kwake

Kwa kifupi marehemu alikuwa na maneno ya kashfa Sana na hili CMG hawalisemi
Alikuwa sahihi kwa mtazamo wake vipi wewe unapenda Binti yako aolewe na masikini
 
Mtoto wa kike sio wa kumuwekea dhamana, atakuaibisha. Wewe hope for the best from her ila ukiweka 100% expectation utaishia kupata sifuri.

Marehemu hakua na hela yoyote jana ndugu yake mmoja alikua anamponda kwamba hata kwao hakujenga.

Mwanaume yoyote unaejielewa ukipata pesa cha kwanza ni kujenga kwenu.

Apumzike kwa amani.
 
Kwa akina gardner ni wapi? Tanga, dar au rombo? Huyo anayemponda alitaka ajenge rombo? Why?

Tunaropoka sana aisee

Mwanaume wa maana ni mwenye sustainable income na strong family ties
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom