Marasta kumkumbuka Bob Marley leo

Marasta kumkumbuka Bob Marley leo

Mkuu Van dick sikubaliani na wewe kabisa kwanza bangi siyo dawa ya kulevya, ganga is a weed like other vegetables you know. Pili kila moja na uhimili wake wa kukontrol kitu mfano ujawahi kunywa pombe then ujaribu kunywa lazima ikutese tu ila wazoefu wanadunda tu. Mi bang kama kawa nikiwa bongoland napiga kitu cha Arusha toka mlima Meru nikiwa hapa kuna jamaa latino anatuletea original weed frm Jamaica. RIP BOB.

Bang inaletaa utahira,bang imesababsha ukchaa kwa wananguuu weng sana tangu sekonsar had chuo kikuu.Nilipokuwa dom six pale Mwakaleli bweni lote la wavulana lilizungukwa Na miche ya bang nikakazamoyo nikiwaambia wavuta bang Wengne nitavuta endapo nitafka chuokikuu Na kweli wkt Wa semista ya mwisho Wa mwakawangu Wa mwsho UDSM nikavuta.yaliyotokea kwa mwez m1 nimshukuru yesu kristo aliyeniokoa baadaye.Ila keep in mind, bang Ni dawa,bang inawenyewe ambao tangu seko haikuwaathiri had Leo wanadunda pa1 nami makazn. Mwisho vjana wenzangu siwashauri uvutte bang urastaman c kuvuta bang,bang Ni starehe tu ya mtu ila N wazaz wetu wapumzke Na kzaz hik tunawapa shida sana kwa vjana kuathrika kiafya (ngoma)Na kiakili (drugs abuse)tuwaache wale pension zao kwa raha zao.tchao mwenye maskio Na askie RIP marley I love youfor your pro peace worldwide no more.
 
Last edited by a moderator:
Sina hakika na hilo la Bob kuwa muasisi wa muziki wa Reggae labda ningeshauri watu wasome vizuri historia ya The Wailers, kusema Bob ndiyo muasisi(peke yake) siyo kweli labda kusema 'mmoja wa waasisi wa Reggae', Tanzania Daima wangetumia neno 'mmoja wa waasisi wa muziki wa Reggae' maana Bob peke yake siyo mwasisi kama wazungu wanavyotaka tuamini, uasisi wa Reggae ni wa kundi na unapotaja uasisi wa Reggae usiache kuwataja kina Peter Tosh na Buny Wailer pia

Uko vizuri kiongozi,salute.
 
Sisi uku tumesikiliza nyimbo zake na tafakari nyingi,, R.I.P Bob marlery........... <the lenged>
 
Nimemsikia ras mmoja akihojiwa ktk radio moja akanichafua na kuniharibia siku,ufahamu wake ni mdogo sana,bangi tu kichwani!
 
Back
Top Bottom