tunamkumbuka sana alale mahala pema peponi amen. One day they will legalise ganja and follows colorado footsteps.
Umeanza!!!!!!!And he was handsome huh?
Exactly!!bob's legacy will live on.
Wavuta bangi.. (Em' bisha nikuone)
Bob Marley alikuwa mfuasi wa dini gani vile?
View attachment 157487RIP bob marley
Hapo nimekupata bily!Reggae legend Bob Marley converted from the Christianity of his childhood to join the Rastafarian Movement in the late 1960s . By all reputable accounts, he remained a devoted Rastafarian and an Ambassador. I think you got it Mashaxizo
Mkuu swaga za wenyewe hizo nimekubali
Wazungu ni akina nani?
Wanahusikaje na hii kitu?
Kwani bangi ina tatizo gani ? FRANCIS DA DON
Ndiyo maana nikashauri kusoma historia ya The Wailers utajua pia hao wazungu ni kina nani na wanahusikaje na hiyo kitu, pia utajua kwa nini Bob alikuwa promoted over the wailers na kwa kutaja Bob Marley and the Wailers instead of The Wailers ni sawa na kuwa na Zanzibar yenye mamlaka kamili ndani ya JMT, pia soma vizuri asili ya Bob utajua wazungu wanahusikaje(mwenyewe simbagui wala ku undermine uwezo wake but kuweka mambo sawa), ndiyo maana nikasema uasisi wa Rastafarian Movement ni wa 'kikundi'(group work) siyo wa Bob as an individual

haina tatizo
Kati ya the wailers na Jim Cliff au Burning Spears nani muasisi?soma vizuri hiyo historiaNdiyo maana nikashauri kusoma historia ya The Wailers utajua pia hao wazungu ni kina nani na wanahusikaje na hiyo kitu, pia utajua kwa nini Bob alikuwa promoted over the wailers na kwa kutaja Bob Marley and the Wailers instead of The Wailers ni sawa na kuwa na Zanzibar yenye mamlaka kamili ndani ya JMT, pia soma vizuri asili ya Bob utajua wazungu wanahusikaje(mwenyewe simbagui wala ku undermine uwezo wake but kuweka mambo sawa), ndiyo maana nikasema uasisi wa Rastafarian Movement ni wa 'kikundi'(group work) siyo wa Bob as an individual