Marando na Dr Slaa wote ni CDM na kila siku wanasimama kwenye majukwaa ya siasa wanapinga Ufisadi.
Tukija kwenye suala la EPA Dr Slaa, anawatambua Mafisadi kina Jeetu Pater, Marando hawatambui?
Hii kweli sinema ya kihindi
Kwa sasa anatetea vidagaa unataka kuniambia akipata nafasi ya kutetea visamaki ataacha? Pili km watuhumiwa wanababikiwa kesi unataka kutuambia Chadema wanawaongea watu?
Kwani vijidagaa sio wahusika?? Samaki ni samaki kundi lao moja. KWA NINI AWATETETEE WALE AMBAO WAMESHITAKIWA NA JAMHURI?? BABU SEYA, EPA CASE, MAHALU CASE KUNA NINI NYUMA YA PAZIA?MARANDO ANATAKA APROVE KWAMBA wale ni vijidagaa Wahusika WaPO
Je ni kweli kwamba wakili mpinga ufisadi anakosa haki ya kutetea watuhumiwa wa ufisadi?

kwa uelewa wako ni vigumu sana kuweza kutambua professionalism and its ethical codes of conduct ...... kazi ya wakili ni kumtetea mhalifu na sio kuhukumu yupi ni mhalifu na yupi si mhalifu .... kwani hii kazi ya wakili ni kutetea watu wasio na makosa? ... silly mind ! .... as well daktari jukumu lake ni kutoa tiba kwa mgonjwa pasipo kuangalia ameathirika vipi na ugonjwa wake .... your thinking capacity is very low

hata wewe ukifanya uhalifu sasa hivi ... katiba inasema you have the right for an attorney (legal representative ) na serikali pia ina jukumu la kugharamia wakili wa kukutetea

kwa hiyo chadema na uongozi wote haioni hili na kukemea ni wewe tu mwenye narrow mind unaeona ?

try to be analytical ....
Hivi ni wakina nani kati ya watuhumiwa Marando anawatetea?Hapa kuna aja ya kujiukilza saana kabla ya kumulaumu Marando maana inawezekana kabisa wale anaowatetea ni wale waliobabimikiwa kesi ndio maana kakomaa nao.Naomba mwenye majina kamili ya wale anaowatetea atuwekee hapa ili tujaribu kutafakari.Kwa uelewa wangu kuna watu wantolewa kafala kwenye hili maana majina makubwa hayafikishwi Mahakamani.
Mimi nina kaswali kadogo tu kwa mtoa mada, je ni kosa kumtetea mtuhumiwa ?
Kama jibu ni hapana, wewe ungetaka hao watuhumiwa watetewe na mawakili wa aina gani au wa chama gani ?
Je, kama swala la ethics linazingatiwa katika kuwatetea watuhumiwa, unataka kusema kuwa wale mawakili wasio na ethics ndio wajitokeze kuwatetea ? Na kama ni hivyo hao mawakili wenye sifa za kukosa ethics ni mawakili wa namna gani na ni kama yupi kwa mfano hapa Tanzania.

Haya ndio hunishinda mimi hata kuelewa.. Wewe ni mbunge mtunzi wa sheria bungeni kupambana na Mafisadi, kisha wewe tena ni mtetezi wa Mafisadi watuhumiwa mahakamani? - kaazi kweli kweli!
Kwa taaluma yangu ya Sheria,Marando yupo sahihi kwa vile there is the rule that the person is not guilty at untill his guilty have been proved so by competent court of law,na jua kuwa advocate kama Marando ni kinyume cha maadili ya uwakili kubagua wateja wake kwa misingi yeyote, Marando ni kama Daktari hawezi kubagua wagonjwa kwa kisingizio ni jambazi kama ulivyo udaktari ni sawa kabisa na Sheria you suppose not be bias.NDIO MAANA UTAKUTA WANASHERIA SIKU NYINGINE ANAMTETEA JAMBAZI SIKU YA PILI ANAWATETEA WATU WALIOPORWA NA KUDHURUMIWA na hawana cha kumlipa kwa sababu hiyo,
LA PILI tujue wale walioenda mahakamani ni vidagaa tuu hali mapapa na masangara yapo mitaani ya kikata mitaa hivyo bac haki haibagui lazima wote waliohusika wafikashwe mahakamani na wahukumiwe kwa stahili sawa,
Kwa taaluma yangu ya Sheria,Marando yupo sahihi kwa vile there is the rule that the person is not guilty at untill his guilty have been proved so by competent court of law,na jua kuwa advocate kama Marando ni kinyume cha maadili ya uwakili kubagua wateja wake kwa misingi yeyote, Marando ni kama Daktari hawezi kubagua wagonjwa kwa kisingizio ni jambazi kama ulivyo udaktari ni sawa kabisa na Sheria you suppose not be bias.NDIO MAANA UTAKUTA WANASHERIA SIKU NYINGINE ANAMTETEA JAMBAZI SIKU YA PILI ANAWATETEA WATU WALIOPORWA NA KUDHURUMIWA na hawana cha kumlipa kwa sababu hiyo,
LA PILI tujue wale walioenda mahakamani ni vidagaa tuu hali mapapa na masangara yapo mitaani ya kikata mitaa hivyo bac haki haibagui lazima wote waliohusika wafikashwe mahakamani na wahukumiwe kwa stahili sawa,
Sawa mpaka hapo tunakubaliana.Mimi si mwanzisha mada lakini nitajibu maswali yako. Hapana, kisheria si kosa.
Hao mawakili wasiofungamana na chama chama chochote ni akina nani na wanapatikana wapi hapa Tanzania.Watetewe na mawakili ambao hawafungamani na chama chochote kile cha kisiasa au
Sijui una maana gani na neno makada, lakini nimepitia listi ya viongozi wa Chadema na sijaliona jina la Marando.na wasio makada ama viongozi wa juu wa vyama vya kisiasa.
Sawa sawa hakuna miiko yoyote ya kitaaluma (ethics) aliyovunja Marando. Sana sana kaweka ushabiki pembeni kuhakikisha sheria inachukua mkondo wake na hapa Marando yafaa apewe sifa.Hoja hapa si miiko ya kitaaluma.
Swali ni je, ungependa kuona vibaka wakichomwa moto ? Lazima tuwe waangalifu sana tunapolitumia neno public opinion tusije tukawa tunaombea laws of the jungle. Kuna mtu kauliza, je mtuhumiwa wa mauaji asipate huduma ya daktari bingwa, mtuhumiwa wa ubakaji asipewe huduma yoyote na mtuhumiwa wa wizi asipewe ulinzi wa polisi. Wakili au jaji akiruhusu mahakama ya maoni ya watu kuzuia utoaji wa haki, huyo haswaa ndiye kakosa maadili ya kitaaluma. Je kwa hawa watuhumiwa kutetewa na Marando, kutazuia vipi kutendeka au kuonekana kutendewa kwa haki ?Hoja ni muonekano mbele ya mahakama ya maoni ya watu na mamlaka ya kimaadili uliyonayo kuupinga ufisadi.