Marando na watuhumiwa wa ufisadi

Huyu aliyeleta mada ,asiwe anatupetezea nafasi za kufikiria, je,police anavyomkamata mwizi amwache wananchi wamwue??? au atmlinda tena kwa karibu zaid ili wapate uthibtisho wa wizi wake , Tena inabidi daktari kuwa karibu sana na yule mwizi aliyeumizwa ili wapate ushaid na ijulikane hatima yake ni nini.[/QUOTE kwa hiyo marando angeitetea serikali ili ijulikane wanaoliibia taifa. mfano wako hapana. zero mark. Police amkamate mwizi halafu amtetee tena? umepata zero.
 
kwanza kabisa nitashangaa sana kama chadema wataitisha mkutano wa kushambulia watu na si dhana ya ufisadi. Wanasiasa makini hawajishughulishi na matukio bali sababu za matukio.

Pili kuna hili suala la uwakili ambalo watu wanadhani ni kuetetea uhalifu. Niliandika kuwa kazi ya wakili ni zaidi ya hapo ikiwa ni pamoja na kusimamia haki ili itendeke. Hebu soma haya maelezo kwanza kabla sijakupa mfano;

criminala defense lawayer (sio lazima iwe criminal tu inaweza kuwa kesi ya madai n.k) deal with issue sorrounding arrest of his or her client as well as any statement the client may have made. Also deal with substantive issues of the crime with which his or her clients are charged until the prosecutors prove each element of crime beyond reasonable doubt.

Inaposemwa prosecutors prove each element of crime beyond doubt haina maana kumtetea kuwa hakufanya uhalifu, bali kuhakikisha kuwa kila dai lina ukweli na adhabu inayotolewa ina lingana na sheria kama ilivyoandikwa.

Sasa wa epa ambao mumeshawahukumu,mfano wanaweza kubambikiwa kuwa walihusika na wizi wa radar n.k na prosecutor.
Intakiwa mwanasheria mwenye ueledi kuweza kumbana mwendesha mashitaka athibitishe bila shaka yoyote juu ya uhalifu huo.

Prosecutor anapomwongoza mwenye mashitaka haina maana anashabikia kesi, ni ili haki ipatikane. Unaweza kufanyiwa uhalifu na ukashindwa kesi pia kwasababu 'technically' hujui sheria. Ndivyo ilivyo kwa washitakiwa pia.

Mfano mtu anaweza kuua na akakamtwa na kila ushahidi wa kimazingira, kisayansi na watu 100 waliomuona na kurekodi tukio hilo. Na mtu huyo akakiri kuwa ameua. Kwa mujibu wa sheria za nchi yetu adhabu iliyopo mbele yake ni kunyongwa.

Miezi 3 baadaye ikagundulika alitoroka hospitali ya wagonjwa wa akili mirembe na aliua siku hiyo hiyo.
Hivi unategemea kuwa mgonjwa wa akili angeweza kusema nina ugonjwa wa akili? Hivi unadhani wakati anakiri alikuwa na akili timamu?
Na unategemea angeweza kujenga hoja ya kwanini aliua ?
Ikifika hapo nani anaweza kisheria kumsaidia kama si wakili. Je adhabu atakayopewa inalingana na haki na mzingira ya tukio? Nani anajua kama si wakili.

Kwanini tunazama kufikiri kazi ya wakili ni kutetea tu na tunasahau majukumu mengine! Kama kuhakikisha haki na sheria inatendeka kama ilivyoandikwa n.k n.k
asante! Umemjibia vizuri. Nimeelewa sichangii tena. Sheria ni msumeno.tunaisoma, kuifafanua na kuielewa . Tatizo kuitafsiri .
 
Kazi ya wakili ni kuisaidia mahakama iweze kufikia maamuzi yanayo toa haki na kamwe si kutetea mteja kama watu wengi wanavodhani kwa wale waliosoma shule ya sheria wanajua hilo kwa hiyo hata yeye malando anaweza kuisaidia mahakama ikawatia hatiani kama anao ushahidi wa kutosha au akawasaidia kushinda kesi kama pia ushahidi upo mie nadhani tufikirie mbali na hapo anapodhani huyu bwana mkubwa!
 
Back
Top Bottom