Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,530
- 43,913
Marando na Dr Slaa wote ni CDM na kila siku wanasimama kwenye majukwaa ya siasa wanapinga Ufisadi.Ni kweli, pia aelewe kuwa wale ni watuhumiwa si haki kuwabagua kwa utuhumiwa wao
hadi pale haki itakapojibainisha.
Tukija kwenye suala la EPA Dr Slaa, anawatambua Mafisadi kina Jeetu Pater, Marando hawatambui?
Hii kweli sinema ya kihindi