Hiyo ni kawaida kwa Wakenya, elimu yao yote wanafundishwa jinsi ya kuongea na Muzungu, sijawahi kukutana na Mkenya anayejua Mathematics, wao ni english language na debate, basi!
Inawezekana hujakutana nao maana pia inategemea na wewe ulivyo, watu gani unaohusiana nao kwenye level yako. “Birds of a feather flock together".
Lakini kimsingi, average ya IQ ya Wakenya imeizidi ya Watanzania kwa mbali, huu utafiti wa kisayansi, sio mimi nimesema, utakuta ndio maana mna kila kitu lakini umaskini umetamalaki, ila sisi kame tupu lakini tunaongoza ukanda wote kielimu na kiuchumi
Kenya 80
Tanzania 72
IQ by Country - World Ranking of Countries by their Average IQ
What to know what country has the highest average IQ? â What is the average IQ of your country? â Full list of countries by their average IQ - more than 180 countries! â â Find answers about IQ by country here! â¦new-iq-test.com
Sisi tupo kwenye slightly below average, ila nyie mpo kwenye "Extremely Low".....IQ 80 ni below average, man, binadamu wa kawaida yuko ~ 90, < 90 huyo ni taahira na hawezi kumudu kutatua tatizo.
Ni nani Dunia hii amewahi kujitenga na Mzungu akapata Maendeleo na Uhuru ?Hiyo ni kawaida kwa Wakenya, elimu yao yote wanafundishwa jinsi ya kuongea na Muzungu, sijawahi kukutana na Mkenya anayejua Mathematics, wao ni english language na debate, basi!
HahàhahahahahaWkt walialikwa na Zuhura Yunusi 2015 kuelekea uchaguzi mkuu,Lowassa akapigwa maswali akabaki anasema hapo unanionea tu.
mwenzake Pombe ‘akirara mbere kwa mbere’ hakutaka hata kutokea kwny mahojiano hayo maana alielewa shughuli yake.
Mbona maboya wengi wapo, Mzee.Hiyo ni kawaida kwa Wakenya, elimu yao yote wanafundishwa jinsi ya kuongea na Muzungu, sijawahi kukutana na Mkenya anayejua Mathematics, wao ni english language na debate, basi!