Marais wangapi humudu hiki kiti moto cha BBC Hard Talk?

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,516
47,751
Hapa Rais Uhuru alipambana sio mchezo. Maswali yanayochochea ubongo, ngeli kwa kwenda mbele, sio ze ze ze.

Mambo kama haya bora kubaki ndani usitoke maana usipokuwa makini unaweza kuambulia aibu, inapaswa uwe umejiandaa kujadili haki na sheria, uchumi, miundombinu, usalama, elimu, mazingira, ajira, vita dhidi ya ufisadi, matumizi bora ya ardhi, ukulima, sera za kimataifa, afya na huduma za kijamii, utalii, viwanda, mawasiliano, michezo na kila kitu.

Yaani uwe na uwezo wa kuitazama nchi yako na dunia kutoka kwa mtazamo wa sayari ya nje.

Anavyoongea sasa

Aaaaaaaaaaaand, wheeeeeeeeeeeeeere, Nooooooooow I get better understanding.

Ukweli ni jamaa anajua vizuri sana, ingawa icho kipindi nacho unatakiwa kuwa active sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Rais Uhuru alipambana sio mchezo. Maswali yanayochochea ubongo, ngeli kwa kwenda mbele, sio ze ze ze.

Mambo kama haya bora kubaki ndani usitoke maana usipokuwa makini unaweza kuambulia aibu, inapaswa uwe umejiandaa kujadili haki na sheria, uchumi, miundombinu, usalama, elimu, mazingira, ajira, vita dhidi ya ufisadi, matumizi bora ya ardhi, ukulima, sera za kimataifa, afya na huduma za kijamii, utalii, viwanda, mawasiliano, michezo na kila kitu.

Yaani uwe na uwezo wa kuitazama nchi yako na dunia kutoka kwa mtazamo wa sayari ya nje.

Huku kwetu hata wasiokuwa maraisi kama Tundu Lisu wanakimudu vizuri tu hiki kipindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zainabu anapiga maswali ya "kichochezi" Trump amesema Afrika ni arse hole nations hivi kweli mnaweza kushirikiana naye?
Uhuru - what we really need is a better understanding...................
 
Hapa Rais Uhuru alipambana sio mchezo. Maswali yanayochochea ubongo, ngeli kwa kwenda mbele, sio ze ze ze.

Mambo kama haya bora kubaki ndani usitoke maana usipokuwa makini unaweza kuambulia aibu, inapaswa uwe umejiandaa kujadili haki na sheria, uchumi, miundombinu, usalama, elimu, mazingira, ajira, vita dhidi ya ufisadi, matumizi bora ya ardhi, ukulima, sera za kimataifa, afya na huduma za kijamii, utalii, viwanda, mawasiliano, michezo na kila kitu.

Yaani uwe na uwezo wa kuitazama nchi yako na dunia kutoka kwa mtazamo wa sayari ya nje.

Jpm namkubali anajua kucheza vyema nyumbani...
Ingekua kingereza ndio kinajenga nchi pekee basi asingekua akifanya mambo ya msingi yanayoendelea kwa sasa..

Nadhan unafaham kwa sasa tunamiradi mingi inayotekelezeka ,Kama maendeleo yangekua ni lugha ya kingereza ndugu zetu Malawi au Uganda wangekua level za Singapore

Hehehe!! Mbona umejishtukia, nani amemtaja JPM na miradi yake? Kama vipi basi akubali awekwe kwenye hicho kiti moto ahojiwe kuhusu hiyo miradi, achague tu hata Kiswahili. Hao kwenye hicho kipindi huwa wanatafiti sana kabla kukuweka kiti moto na hawaogopi kukuuliza chochote, maana kwa Tz huko sasa hivi nyote mumelazimishwa kuimba mapambio, naona mtu mmoja Zitto ndiye amejitoa mhanga anawaumbua tu.
Yaani mumefikia kiasi cha kuagiza Watanzania wakamatwe kisa walipiga picha za barabara mbovu....duh majirani.
 
Turudi kwenye mada yako kuu kuhusu lugha,Na kwann tuzunguke hapo ulimlenga Jpm kwakua ndio ambae ishu ya kingereza tunajua hakijakaa sawasawa kama ambavyo maraisi waliopita walikimudu!!

And hey nani kasema kua kila mtu anaimba pambio la sifa? Wako watu wanaokosoa serikali non-stop daily wewe huwajui...japo wanakumbana na mazingira magumu lakini ndio kwanza wamefungua turbo

Dah nimesoma sehemu Zitto mumemlambisha kosa la uhaini, balaa nadhani atakoma hataongea tena, itabidi aingie kwenye kwaya ya mapambio sasa hamna tena. Kwa kifupi upinzani Bongo ndio basi, naona wamehamia kwenda CCM karibu wote, Mbowe amebaki mpweke, naye aamue aimbe mapambio ili nyote muwe kimoja.
 
Jpm namkubali anajua kucheza vyema nyumbani...
Ingekua kingereza ndio kinajenga nchi pekee basi asingekua akifanya mambo ya msingi yanayoendelea kwa sasa..

Nadhan unafaham kwa sasa tunamiradi mingi inayotekelezeka ,Kama maendeleo yangekua ni lugha ya kingereza ndugu zetu Malawi au Uganda wangekua level za Singapore

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kumshuku "zi laiti tlaki" ?
 
Dah nimesoma sehemu Zitto mumemlambisha kosa la uhaini, balaa nadhani atakoma hataongea tena, itabidi aingie kwenye kwaya ya mapambio sasa hamna tena. Kwa kifupi upinzani Bongo ndio basi, naona wamehamia kwenda CCM karibu wote, Mbowe amebaki mpweke, naye aamue aimbe mapambio ili nyote muwe kimoja.
Wanasiasa wote Ni wasaka tonge, tena wametufundisha kitu kizur sana msimu huu kuliko msimu wowote ule...

Kampeni zao zitakapoanza mpaka kura utaona hali itakavyokua,kama mwaka 2015 kwa muamko ule bado waliopiga kurA walikua milioni 8 kati ya 18 waliojiandikisha sasa tegemea mwaka huu kura watakaopiga hawatazidi milioni 5 na hata mikutano yao sijui kama watu watahangaika nayo

Kwa hili nakubaliana na wewe asilima zaidi ya 100% ndio hata huku kwetu tumewachoka sana wanasiasa.
 
Aongelee yote lakini asisahau kuomba msaada wa chakula sababu ndicho kilichompeleka huko kwa wanaume

Juzi trump kamuita Rais wenu utafikiri anamuita waitress bar kwamba aondoe kodi US iwasaidie ngano ipite bure kupunguza vifo vinavyotokana na njaa Kenya

Hiyo ni kawaida kwa Wakenya, elimu yao yote wanafundishwa jinsi ya kuongea na Muzungu, sijawahi kukutana na Mkenya anayejua Mathematics, wao ni english language na debate, basi!
 
Wengine na kiingereza hawajui labda BBC Swahili wapambane

Wkt walialikwa na Zuhura Yunusi 2015 kuelekea uchaguzi mkuu,Lowassa akapigwa maswali akabaki anasema hapo unanionea tu.

mwenzake Pombe ‘akirara mbere kwa mbere’ hakutaka hata kutokea kwny mahojiano hayo maana alielewa shughuli yake.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom