Marais wangapi humudu hiki kiti moto cha BBC Hard Talk?

Hiyo ni kawaida kwa Wakenya, elimu yao yote wanafundishwa jinsi ya kuongea na Muzungu, sijawahi kukutana na Mkenya anayejua Mathematics, wao ni english language na debate, basi!

Inawezekana hujakutana nao maana pia inategemea na wewe ulivyo, watu gani unaohusiana nao kwenye level yako. “Birds of a feather flock together".
Lakini kimsingi, average ya IQ ya Wakenya imeizidi ya Watanzania kwa mbali, huu utafiti wa kisayansi, sio mimi nimesema, utakuta ndio maana mna kila kitu lakini umaskini umetamalaki, ila sisi kame tupu lakini tunaongoza ukanda wote kielimu na kiuchumi

Kenya 80
Tanzania 72

IQ 80 ni below average, man, binadamu wa kawaida yuko ~ 90, < 90 huyo ni taahira na hawezi kumudu kutatua tatizo.
 
IQ 80 ni below average, man, binadamu wa kawaida yuko ~ 90, < 90 huyo ni taahira na hawezi kumudu kutatua tatizo.
Sisi tupo kwenye slightly below average, ila nyie mpo kwenye "Extremely Low".....
Kwa hamuna jeuri ya kutusema, sisi ndio tuwaseme.
 
Hiyo ni kawaida kwa Wakenya, elimu yao yote wanafundishwa jinsi ya kuongea na Muzungu, sijawahi kukutana na Mkenya anayejua Mathematics, wao ni english language na debate, basi!
Ni nani Dunia hii amewahi kujitenga na Mzungu akapata Maendeleo na Uhuru ?
 
Wkt walialikwa na Zuhura Yunusi 2015 kuelekea uchaguzi mkuu,Lowassa akapigwa maswali akabaki anasema hapo unanionea tu.

mwenzake Pombe ‘akirara mbere kwa mbere’ hakutaka hata kutokea kwny mahojiano hayo maana alielewa shughuli yake.
Hahàhahahahaha
 
Kuna perception ambayo waandishi wa habari wengi wanayo. Kubwa ni kutafuta ni habari na headline after kukubana, kuna kama kutaka kukuwin mind yako, uwe inferior wake

Kagame alicheza nao vizuri sana ktk interview moja, nilikubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uhuru ni rais smart sana
SIONGELEI HII INTERVIEW

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
2213617_Screenshot_2019-11-16-13-07-17-584_com.whatsapp.jpg
 
Back
Top Bottom