MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,654
- 48,432
Hapa Rais Uhuru alipambana sio mchezo. Maswali yanayochochea ubongo, ngeli kwa kwenda mbele, sio ze ze ze.
Mambo kama haya bora kubaki ndani usitoke maana usipokuwa makini unaweza kuambulia aibu, inapaswa uwe umejiandaa kujadili haki na sheria, uchumi, miundombinu, usalama, elimu, mazingira, ajira, vita dhidi ya ufisadi, matumizi bora ya ardhi, ukulima, sera za kimataifa, afya na huduma za kijamii, utalii, viwanda, mawasiliano, michezo na kila kitu.
Yaani uwe na uwezo wa kuitazama nchi yako na dunia kutoka kwa mtazamo wa sayari ya nje.