mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
Ila ukiona wote hawakupendi wewe basi jirekebishe
Nimejifunza siku zote jitahidi kuutuliza moyo wako unapoumizwa na mtu kulikoni kutaka kupambana na mtu yako maana ni kuzidi kujiongezea machungu na kuwapa watu faida kuendeleza chokochoko. Mimi hili watu hawelewi ilikuwaje wengi wanadhani niliamua mwenyewe kuacha, na hivyo hakuna anaeuliza kitu kwa kuwa hakukua na malumbano. Jitahidi kila unapoweza kutotengeneza uadui na binadamu.
Marafiki na ndugu ni watu ambao unatakiwa uishi nao kwa akili sana.
Unapogundua mtu wa karibu na wewe sio mtu mzuli kwako dawa ni moja tuu
1.kujitenga mbali na yeye kwa kufanya mambo yafuatayo
1.tengeneza mazingira ya kukufanya hamuonani kila mara
2.tengeneza mazingira yanakufanya ushinde mbali na unapoishii
3.tafuta marafiki wapyaa ambao wako mazingira ya mbalii na wewe
4.jitoee katika makundi ya kijamii kwa muda