Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,301
Usiamini nafsi yoyote hata nafsi yako pia itilie mashaka..!!kwani ni mara ngapi nafsi yako mwenyew imekusaliti.?unaweza kufanya kitu badae ukabaki unajiraum,huu ni usaliti wa nafsi..hakuna rafiki wa kweli. wala rafiki muongo wote ni marafiki,ukimsikia mtu anakwambia flani ni rafiki yangu wa ukweli,jua huyo mtu anajiongopa na anajaribu kuubadilisha ukweli halisi ulioko ndami kabsa ya neno "rafiki"rafiki ni neno conclusive ukiongeza maneno mengine hapo mbele hayo ni yako...