Marafiki wana msaada kuliko ndugu

Uongo ,marafiki watakuwepo kama wananufaika au wana mategemeo ya kunufaika na wewe,
Ndugu atakiwa na wewe kwa hali zote,kuwa makini hakuna watu wanafki kama marafiki
Kiujumla ndugu ni muhimu kuliko rafiki bt linapokuja suala la utafutaji na michongo ya kazi marafiki wanajitoa sana kuliko ndugu na ndo nilichokusudia kwenye mada yangu.
 
Mjadara ufungwe.
 
Mwisho wakamla mbuzi!
 
Ndg kamwe siwezi mbeza pamoja na mapungufu yake mengi siwezi na siwezi kweli.
Moja ya vitu nilivyoona kwa mzee wangu ni kuishi na watoto wandugu zake.

Ikitokea umekufa na una watoto wadogo hakuna rafiki atakae wachukua watoto wako.
Bali watachukuliwa na ndg zako haijarishi watalelewa malezi mazuri au ya manyanyaso
yote hayo ni mapito yao ktk maisha.

Marafiki ni kweli tunasaidiana sana kwenye connection maana mara zote hatuogopani na pia hatuoneani kijicho
lkn kwenye shida kati ya marafi zako 10 unaweza baki na mmoja tu nae hataenda muda anakuacha.


Urafiki wa kweli kuwahi kutokea ni wa Daudi na Jonathani Mtoto wa mfalme sauli huu ndo nilishuhudia urafiki mzuri na mtamu kuwahi kutokea.
 
Mara nyingi marafiki mnakuwa na common interests, ndugu ni kama kaskazini na kusini saa nyingine. Kwahiyo hata baadhi ya mambo huwezi kulaumu sana
 
Marafiki wanasolve issue za Maokoto subiri uwaze kuharisha utaona Kama kuna rafiki atasafisha uharo wako....🐒
Ukiwa na maokoto unaajiri wajuzi wa kuhudumia mgonjwa,choka mbaya uhudumiwa na ndugu huku wakisimangwa na kuombewa dua la kifo cha haraka.
Pesa inaratibu mambo mengi hapa duniani kuliko ndugu.
Maskini siku zote huwasubiria ndugu waumwe hili wawanange wanapowauguza.
 
Wewe ulishalikoroga huko umeanza lawama.

Hao wanaoitwa amarafiki ni bado tu hawajaonja joto lako la jiwe.

Mnaharibu mahusiano kwenye familia zenu wenyewe baadae mnaanza kulalamika wanapowaacha na ujeuri wenu.
 
Punguza matarajio mkuu,kila mtu ana hali anayoipitia na hana majibu,usiweke imani na nguvu zako kwa binaadam, maana wao hubadilika pasipo taarifa.
Uko sahihi.

Shida ya watu wengi wanataka wakishapata hizi miambili miambili wanatarajia waabudiwe na kupigiwa magoti.

Mambo yanapoenda kinyume wananza kuona ndugu ni wabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…