Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 859
- 2,118
Kwahiyo hata wewe huwezi kuwasaidia ndugu zako. Yani huna msaada kwa ndugu zako
Ukipigwa na JIWE FATUMA ndio utakumbuka msemo wa NYUMBANI NI NYUMBANI ,marafiki ni uhusiano fulani wa bandia uliokamatwa na nyakati nzuri nzuri za maokoto,undugu upo ukiwa hai na ukiwa mfu hata kama undugu haukupi helaSalaam,
Watu wengi ukiwauliza juu ya michongo yao/mafanikio yao, watakuambia walipewa connection/support na marafiki zaidi kuliko ndugu.
Hata post za kazi zikitoka, ni rahisi sana kuona sim za marafiki zikimiminika kukujuza bt ni nadra kuona sim za ndugu.
Mungu wabariki marafiki popote walipo duniani.
Ndo angekua na akili timamu angereason pia kwanini ipo hivyo.... na sio kuja kwa entitlement as if yeye kuna ndugu kibao amewabebaMada inajieleza imejikita kwenye utaftaji na michongo ya kazi bt wewe umechagua kugenerelize.
Kutambua mchango wa marafiki haimanishi ndugu hawasaidiani.Kwahiyo hata wewe huwezi kuwasaidia ndugu zako. Yani huna msaada kwa ndugu zako
Kutofautiana mitizamo ktk mambo ni jambo la kawaida hivo hakuna haja ya kutumia maneno makali ktk kuwasilisha mitizamo yetu.Ndo angekua na akili timamu angereason pia kwanini ipo hivyo.... na sio kuja kwa entitlement as if yeye kuna ndugu kibao amewabeba
Kama wadogo🐒Na ndugu yupi atasafisha kama siyo wanao
Hao ni ndugu zakoNdugu ni washenzi tu.
Kwa mujibu wa bandiko lako ndugu hawana msaada Kuliko marafiki.Kutambua mchango wa marafiki haimanishi ndugu hawasaidiani.
wa ku play part zote ni Mungu pekee! mwanadamu hawezi.Rafiki hawezi play part zote ktk maisha, bt kwa part wanayoplay wamekua mkombozi kwa wengi.
Utakufa unajiona☹️Kama wadogo🐒
Wewe umesaidiaje ndugu zako baada ya kupata kazi? Au nawe ndio ndugu washenzi? Miaka minne kwa uncle wako huoni ni msaada? Acheni kueneza ujingaUko sahihi mkuu,mfano Mimi mjomba wangu alitaka nimsaidie biashara zake,kweli tumeenda miaka4 siioni Faida kwangu,mbali tuu na kupata uzoefu na kula.Nikajiongeza kusoma C.B.E _Dodoma huko nikakutana na jamaa anafanya kazi kampuni flani nzuri Katika kuzoeana akawa rafiki yangu mkubwa!Kazi zikatoka wa kwanza kunitafuta ilikuwa Mimi Ahsante rafiki,Sasa Nina wajukuu.
Ndio utakapojua nini maana ya ndugu yupo atakayetokea atakayepambana na wewe hadi hatima yako ...Utakufa unajiona☹️
Mjinga wewe,mpaka Wewe ujue nilivyosaidia?!!Wewe umesaidiaje ndugu zako baada ya kupata kazi? Au nawe ndio ndugu washenzi? Miaka minne kwa uncle wako huoni ni msaada? Acheni kueneza ujinga
Si umesema marafiki ni bora kuliko ndugu? Hii kitu ndugu yangu inafahamika maana na sisi tuna familia na marafiki piaWanaotambua michango ya marafiki haimanishi, ni wakorofi na hawana mahusiano mazuri na ndugu zao mkuu.
Mada imejikita zaidi kwenye mambo ya utaftaji, bt baadhi ya wachangiaji mnageneralize ndo maana tunashindwa kuelewana.Si umesema marafiki ni bora kuliko ndugu? Hii kitu ndugu yangu inafahamika maana na sisi tuna familia na marafiki pia
Upo sahih mkuuwa ku play part zote ni Mungu pekee! mwanadamu hawezi.
JESUS is Lord
Mada ilijikita zaidi kutambua mchango wao na si uwepo wao wa muda.Tatizo la marafiki uwepo wao ni wa muda tu.
Undugu hauishi Kamwe.
Watu wanaopoteza madaraka na fedha watakusimulia vizuri kuhusiana na marafiki.
Itakua ulisoma title pekee bt kama umesoma andiko zima limejikita ktk mambo ya utafutaji na michongo ya kazi.Kwa mujibu wa bandiko lako ndugu hawana msaada Kuliko marafiki.
Unapost halafu unatupangia cha kujibu??Mada ilijikita zaidi kutambua mchango wao na si uwepo wao wa muda.
Wanaopoteza madaraka na fedha pia ukiwauliza kuhusu mchango wa marafiki ktk mafanikio yao pia watakueleza.