Marafiki wana msaada kuliko ndugu

Marafiki wana msaada kuliko ndugu

Uko sahihi mkuu,mfano Mimi mjomba wangu alitaka nimsaidie biashara zake,kweli tumeenda miaka4 siioni Faida kwangu,mbali tuu na kupata uzoefu na kula.Nikajiongeza kusoma C.B.E _Dodoma huko nikakutana na jamaa anafanya kazi kampuni flani nzuri Katika kuzoeana akawa rafiki yangu mkubwa!Kazi zikatoka wa kwanza kunitafuta ilikuwa Mimi Ahsante rafiki,Sasa Nina wajukuu.
Huyo rafiki alikupa kazi baada ya wewe kumaliza CBE. Je kazi hiyo ungeipata bila hiyo elimu eti kwa sababu tu ni rafiki yako? Think again uache lawama.
 
Salaam,

Watu wengi ukiwauliza juu ya michongo yao/mafanikio yao, watakuambia walipewa connection/support na marafiki zaidi kuliko ndugu.

Hata post za kazi zikitoka, ni rahisi sana kuona sim za marafiki zikimiminika kukujuza bt ni nadra kuona sim za ndugu.

Mungu wabariki marafiki popote walipo duniani.
Bahati mbaya sana kuna watu walizaliwa kwenye familia za watu wagomvi na wenye tamaa, na wengi ndiyo wenye maoni kama yako. Mimi ndugu zangu wa kuzaliwa nawaamini sana na tunasaidia kwa kila jambo. Kinyume chake naona kama marafiki ndiyo hawaaminiki.
 
Perfect.....Dada yako unamuonya kama Kaka Mkubwa unamuongoza awe makini kwenye mahusiano yake...kwa upendo kabisa. Yeye anakuona wewe ni kizingiti wewe ni mshamba...

Baadae anapigwa mimba anaachwa na yule yule aliyempenda.

Kama kaka unaamua kubaki na ushamba wako pembeni. Anaanza kulalamika eti ndugu vile mara ndugu hivi.
 
Huyo rafiki akikupa kazi baada ya kumaliza CBE. Je kazi hiyo ungeipata bila hiyo elimu eti kwa sababu tu ni rafiki yako? Think again uache lawama.
Huyu ni mjinga sana. Alitarajia pengine huyo mjomba wake achote fedha na kumpa. Hili kosa wanalifanya watu wengi. Unakuta muda wote analaumu ndugu eti hamsaidii. Kwenye familia yangu, ndugu ni kila kitu na hata siku moja siwezi kumwamini rafiki kuliko ndugu.
 
Uwe mwelewa mkuu,tunazungumzia rafiki anaumakini wa kutusaidia kwa haraka mara nyingi kuliko ndugu,hatumaanishi ndugu ni wabaya,hapana.
Pointi yangu ni kuwa Rafiki alikusaidia kwa haraka ukiwa na sifa. Sasa wewe unataka kuona wale ambao hawajakusaidia mwanzo sio sawa na hawa waliokusaidi huku tayari una qualities za kusaidiwa. Hawa wote wanastahili sifa sawa ktk maisha yako.
Pengine Bila Mjomba kuku host hapo hata wazo la kujiongeza elimu usingelipata au usingeweza
 
Huyu ni mjinga sana. Alitarajia pengine huyo mjomba wake achote fedha na kumpa. Hili kosa wanalifanya watu wengi. Unakuta muda wote analaumu ndugu eti hamsaidii. Kwenye familia yangu, ndugu ni kila kitu na hata siku moja siwezi kumwamini rafiki kuliko ndugu.
Vijana wakorofi kwenye familia wanajua walipokosea ndio maana wanakimbia ndugu zao kwa kuwamwagia lawama.
 
Pointi yangu ni kuwa Rafiki alikusaidia kwa haraka ukiwa na sifa. Sasa wewe unataka kuona wale ambao hawajakusaidia mwanzo sio sawa na hawa waliokusaidi huku tayari una qualities za kusaidiwa. Hawa wote wanastahili sifa sawa ktk maisha yako.
Pengine Bila Mjomba kuku host hapo hata wazo la kujiongeza elimu usingelipata au usingeweza
Uko sahihi
 
Salaam,

Watu wengi ukiwauliza juu ya michongo yao/mafanikio yao, watakuambia walipewa connection/support na marafiki zaidi kuliko ndugu.

Hata post za kazi zikitoka, ni rahisi sana kuona sim za marafiki zikimiminika kukujuza bt ni nadra kuona sim za ndugu.

Mungu wabariki marafiki popote walipo duniani.
Kuna ndugu, familia au jamaa wa karibu. Ikiwa ni familia sio rahisi nimnyime information/michongo/kazi, mwanangu, dada yangu, binamu yangu mke wangu, mjukuu wangu. Maana hiyo ni familia yangu, ila baba mdogo mtoto wa nani mkubwa, ukoo wenyewe wa kutafuta na tochi,, tutalaumiana tu.
 
Huyu ni mjinga sana. Alitarajia pengine huyo mjomba wake achote fedha na kumpa. Hili kosa wanalifanya watu wengi. Unakuta muda wote analaumu ndugu eti hamsaidii. Kwenye familia yangu, ndugu ni kila kitu na hata siku moja siwezi kumwamini rafiki kuliko ndugu.
Hapana umeenda mbali huko ,Mimi sio mjinga mkuu tunazungumzia uhalisia,Sasa kwa taarifa Yako Mimi ndio tegemeo la huyo mjomba na watoto wake nimesomesha Mimi!Nani mjinga hapo wewe au Mimi,usikurupuke kama umekula farujohn Kaa kwa kutulia Mungu fundi.
 
Kama na wewe huna mchango kwa ndugu yako yeyote mpaka sasa na wewe ni wale wale......

Ungekua unafikiria ungejua marafiki mnakutana katika mazingira ambayo mnaendana, hivyo hata michongo inakua kwenye pool ile ile.

Ndugu inategemea mna kiunganishi gani, mtu umesoma account una ndugu wapo health field unataka msaada gani hapo?

Punguza entitlement, KAMWE SIWEZI WEKA NDUGU NA RAFIKI KWENYE MZANI MMOJA, NAHESHIMU SANA NDUGU ZANGU, MARAFIKI NAENDA NAO KAMA WALIVYOKUJA SABABU DAMU NI DAMU TU INGAWA EXCEPTIONS HAZIKOSEKANI
 
Hapana umeenda mbali huko ,Mimi sio mjinga mkuu tunazungumzia uhalisia,Sasa kwa taarifa Yako Mimi ndio tegemeo la huyo mjomba na watoto wake nimesomesha Mimi!Nani mjinga hapo wewe au Mimi,usikurupuke kama umekula farujohn Kaa kwa kutulia Mungu fundi.
Sasa wewe ulitaka huyo mjomba afanye nini kipindi hicho? Huoni kukubali kukaa na wewe ni uungwana?
 
Maisha yako ni jukumu
👉Kila kitu katika maisha yako ni jukumu lako
👉changamoto zinazokukabili ni jukumu lako kulitatua

💥umaskini usiwe chanzo cha makasrikiko na kukataa ndugu.

Epuka kua tegemezi kwa maana hata marafiki nao wanahitaji marafiki
Ndugu watabaki kua ndugu marafiki watabaki kua marafiki

kutoa au kupokea msaada sio sheria bali ni huruma na imani ya mwanadamu na ni optional

Ahsante🙏
Katika hii Dunia huwezi tobaa kwa juhudi zako,hata uwe na akili kama mchwa utahitaji support za watu hasa marafiki
 
Back
Top Bottom