Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 12,212
- 17,005
Wote wenye fursa ya kusaidiwaWewe unawasaidia zaidi ndugu au marafiki?
Wote wenye fursa ya kusaidiwaWewe unawasaidia zaidi ndugu au marafiki?
Uko sahihi mtoa madam hajakosoa ndugu kuwa ni wabaya,kaongelea kutokana na uzoefu wake kwenye michongo na fursa,punguza mihemko mkuu!Kama na wewe huna mchango kwa ndugu yako yeyote mpaka sasa na wewe ni wale wale......
Ungekua unafikiria ungejua marafiki mnakutana katika mazingira ambayo mnaendana, hivyo hata michongo inakua kwenye pool ile ile.
Ndugu inategemea mna kiunganishi gani, mtu umesoma account una ndugu wapo health field unataka msaada gani hapo?
Punguza entitlement, KAMWE SIWEZI WEKA NDUGU NA RAFIKI KWENYE MZANI MMOJA, NAHESHIMU SANA NDUGU ZANGU, MARAFIKI NAENDA NAO KAMA WALIVYOKUJA SABABU DAMU NI DAMU TU INGAWA EXCEPTIONS HAZIKOSEKANI
Naunga mkono aisee bila mungu kumleta yule mshikaji wangu ambae alikuwa msaada kwangu sijui ningekuwaje aisee kiukweli nilikuwa mie si kitu,stress na depression ila mwanangu from nowhere akanipa mchongo aisee mungu aendelee kumbless kwa sasa milioni kadhaa kwangu si ishu kabisa namshukuru mungu 🙏🙏🙏🙏Salaam,
Watu wengi ukiwauliza juu ya michongo yao/mafanikio yao, watakuambia walipewa connection/support na marafiki zaidi kuliko ndugu.
Hata post za kazi zikitoka, ni rahisi sana kuona sim za marafiki zikimiminika kukujuza bt ni nadra kuona sim za ndugu.
Mungu wabariki marafiki popote walipo duniani.
Wewe ndo una mihemko.... marafiki mnakutana kwenye mazingira ya fursa zinazoendana, kamwe huwe fananisha na ndugu ambao mnaunganishwa na mazingira ya utafutaji wenu ni tofauti.Uk
Uko sahihi mtoa madam hajakosoa ndugu kuwa ni wabaya,kaongelea kutokana na uzoefu wake kwenye michongo na fursa,punguza mihemko mkuu!
Bado hujaelewa mada mkuu,soma ukiwa umeshiba,punguza stress!Wewe ndo una mihemko.... marafiki mnakutana kwenye mazingira ya fursa zinazoendana, kamwe huwe fananisha na ndugu ambao mnaunganishwa na mazingira ya utafutaji wenu ni tofauti.
Sijamaanisha hivyo mkuu misaada ipo ila usiichukulie kama faradh katika ndugu na marafikiKatika hii Dunia huwezi tobaa kwa juhudi zako,hata uwe na akili kama mchwa utahitaji support za watu hasa marafiki
Same hereMimi ndugu zangu watabaki kuwa ndugu zangu tu, na sipendi msaada wa wanaojiita marafiki ni wanafki tu .
Wengi mnageneralize coz mnaenda nje ya kilichokusudiwa, ukibaki kwenye muktadha wa utafutaji na michongo ya kazi ni rahisi kunielewa.Ndg kamwe siwezi mbeza pamoja na mapungufu yake mengi siwezi na siwezi kweli.
Moja ya vitu nilivyoona kwa mzee wangu ni kuishi na watoto wandugu zake.
Ikitokea umekufa na una watoto wadogo hakuna rafiki atakae wachukua watoto wako.
Bali watachukuliwa na ndg zako haijarishi watalelewa malezi mazuri au ya manyanyaso
yote hayo ni mapito yao ktk maisha.
Marafiki ni kweli tunasaidiana sana kwenye connection maana mara zote hatuogopani na pia hatuoneani kijicho
lkn kwenye shida kati ya marafi zako 10 unaweza baki na mmoja tu nae hataenda muda anakuacha.
Urafiki wa kweli kuwahi kutokea ni wa Daudi na Jonathani Mtoto wa mfalme sauli huu ndo nilishuhudia urafiki mzuri na mtamu kuwahi kutokea.
sio kweliUkitaka ujue umuhimu wa ndugu zako pata matatizo ya muda mrefu. Marafiki wote watakimbia ila ndugu zako watapambana na wewe mpaka tone la mwisho.
Kutambua mchango wa marafiki kwenye mambo ya utafutaji na michongo ya kazi haimanishi sina mahusiano mazuri na ndugu, ni vile tu umeamua kugenerelize mambo.Wewe ulishalikoroga huko umeanza lawama.
Hao wanaoitwa amarafiki ni bado tu hawajaonja joto lako la jiwe.
Mnaharibu mahusiano kwenye familia zenu wenyewe baadae mnaanza kulalamika wanapowaacha na ujeuri wenu.
Wanaotambua michango ya marafiki haimanishi, ni wakorofi na hawana mahusiano mazuri na ndugu zao mkuu.Vijana wakorofi kwenye familia wanajua walipokosea ndio maana wanakimbia ndugu zao kwa kuwamwagia lawama.
Tufungueni thread inayoitwa "tulioshangazwa na ndugu tukutane hapa"Ndugu ni washenzi tu.
Mada inajieleza imejikita kwenye utaftaji na michongo ya kazi bt wewe umechagua kugenerelize.Kama na wewe huna mchango kwa ndugu yako yeyote mpaka sasa na wewe ni wale wale......
Ungekua unafikiria ungejua marafiki mnakutana katika mazingira ambayo mnaendana, hivyo hata michongo inakua kwenye pool ile ile.
Ndugu inategemea mna kiunganishi gani, mtu umesoma account una ndugu wapo health field unataka msaada gani hapo?
Punguza entitlement, KAMWE SIWEZI WEKA NDUGU NA RAFIKI KWENYE MZANI MMOJA, NAHESHIMU SANA NDUGU ZANGU, MARAFIKI NAENDA NAO KAMA WALIVYOKUJA SABABU DAMU NI DAMU TU INGAWA EXCEPTIONS HAZIKOSEKANI
Mkuu heshimu maoni yake hata kama hukubaliani nayo.Wew umeandika nini sasa?
🥴🥴🥴Wew umeandika nini sasa?
Kutambua mchango wa marafiki kwenye mambo ya utafutaji na michongo ya kazi haimanishi sina mahusiano mazuri na ndugu, ni vile tu umeamua kugenerelize mambo.Wewe ulishalikoroga huko umeanza lawama.
Hao wanaoitwa amarafiki ni bado tu hawajaonja joto lako la jiwe.
Mnaharibu mahusiano kwenye familia zenu wenyewe baadae mnaanza kulalamika wanapowaacha na ujeuri wenu.
Na ndugu yupi atasafisha kama siyo wanaoMarafiki wanasolve issue za Maokoto subiri uwaze kuharisha utaona Kama kuna rafiki atasafisha uharo wako....🐒