- Thread starter
- #121
Mkuu sijakupangia cha kujibu bt tumetofautiana mitizamo tu, ambalo ni jambo la kawaida ktk mijadala.Unapost halafu unatupangia cha kujibu??
Si ungeliacha hili jambo libakie kwako kuliko kushirikisha watu??

Tumeshasema rafiki yeye yupo kwenye connection na shida dongodongo tu matatizo makubwa anakuacha kwenye mataa unabaki na DG zako. Tumeona sio kusimuliwaWengi mnageneralize coz mnaenda nje ya kilichokusudiwa, ukibaki kwenye muktadha wa utafutaji na michongo ya kazi ni rahisi kunielewa.