Yani 😃 ila naona hitaji limebadilika sihitaji marafiki nahitaji pesa tu baas, nikiwa nayo inanipa rahaPolee.
Unaweza kucheka au kuwa na kampani ya watu wengi na watu wakafikiri una marafiki wengi kumbe huna hata mmoja
Ka sh ngapi hivi😂Yani 😃 ila naona hitaji limebadilika sihitaji marafiki nahitaji pesa tu baas, nikiwa nayo inanipa raha
Alf tatu tatu nyingi 😁Ka sh ngapi hivi😂
Nitakupa usijaliAlf tatu tatu nyingi 😁
I love you so much ghafla 🤣🤣Nitakupa usijali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unakuja na kiingilio babuuu, yuu know.Mjukuu kama nafasi imebakia niongeze namimi [emoji1545]
Daaaah ngoma bana ilivyotulia sasa utasema kama haipo vile 😑Wa pili alikuwa Emmanuel (Ima) Tulisoma wote sekondari then chuoni. The very best friend ever.. Alikufa kwa ngoma[emoji24]