Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,162
- 831,844
Hawa unawapa hela tu kama upo na hiyo nafasi. Sio lazima umkope shekhe.Ilikuwa zamani, kwa Sasa marafiki wengi wa utotoni ni matapeli, wakikukopa hawalipi!![]()
Nimekuja kugundua haya mambo ya kusoma na ajira yanatuondolea furaha maara unajikuta unaajiriwa sehemu ambayo ni mbali na nyumbani.Laiti wakati ungekuwa na rivasi... Muda ungerufunulia mengi tuliyopitia yakatujengea bond isiyokatika.. If i could turn back the time!
Mkuu huu uzi ni wa dhahabu sana.Haya mambo yapo.. Mpaka nikafikia kuandika kulikuwa na sabubu very genuine![]()
Hadi leo still the best japo hatufanyi kazi sehem Moja but he's the best!!Best!simply Best!!the best till today he was the best I say!!
Hadi leo still the best japo hatufanyi kazi sehem Moja but he's the best!!
Simple he's the best!!
Hats nilipoenda kibara kule chitengule when phoned I was there because he's the Best!!
Marafiki zenu Kwa kina junior na AlvinSisi wa geti kali tusemeje sasa 🌬️🤣🤣
Ila una point nxuri
Ukirudi tuu utasikia Mumy / Dady naomba simu nimpigie Jayden hajaja shule leo.Marafiki zenu Kwa kina junior na junior na Alvn
Ndio mshapotezana sasa ndio kitu kilekile alichokisema mkuu Mshana.Duuuh mimi nilipokulia hamna aseee ni mtoto pekee kwenye familia mkuuu sina rafiki yeyote wa utotoni sijui kucheza michexo ya kombolela sijui makaraa hiyo naisikiaga tu kwa watu mm ni midoli na magari ya kitoto tu ndo ninayoijua nina rafiki 1 tu wa kweli nimesoma nae from form 1 to form 6 basi combi sawa kila kitu sawa chuo tu ndo tumepotezana yupo mbeya mi nipo dar yeye pekee ndio ninaeweza kumchuja hapa tumetoka mbali sana kwenye maisha ya shule mawasiliano hayakauki
😃 Sio mvua tu, hata kuchezea udongo, kucheza mpira kule uwanja wa Sahara kila mara shule zikifungwa tulikuwa tunakuwaga na mechi kali. Timu za watoto-vijana kutokea sehem kubwa ya mabibo(external hadi wa kutokea mabibo jeshini) na kuwa kama mchuano mkali.Ambae hajawahi kuchezea mvua daaah utoto kazi kweli kweli
Nakumbuka pale Mkapa Export kabla hapajawekwa ukuta kulikua na minara ya mawasiliano sasa ukipita km unaenda Mabibo hostel kulikua na vichaka kulikua na matunda poli fulani hivi enzi hizo tupo watoto watoto tulikua tunayafuata matamu kishenzi daah sasa hivi hakuna poli pale 😂