[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkitoa kipengele cha kujilipia gharama I mean ikiwa free naomba mniadd kwenye group.Mimi nipelekeni kokote tu sio Egypt tu
Humble aliyekuteka akuachie jamani kidogo kidogo tukuoneThe world is like a book, the people who don't travel read only one page..but the people who travel read the whole book.
Kesho nitakuwa na safari ya kuelekea Ethiopia kupitia Uganda, Kenya then Ethiopia via Marsabit border.. Nawahaidi zawadi ya picha murua sana kuanzia njiani hadi nitakapofika Sheba empire.
We were not born to pay rent and die.
Envié D'aventure.
Yaan nilikua napekua nikutane na post yako tuGood idea tatizo VYUMA...
Una mawaZo kama yangu nikienda huko nazamia acha nikalale nje tyuuNiweke kwenye list
Ila ujue nitazamia hukohuko
Nia ipo mkuu..Vyuma vimefanya nini kwani Mzigua?? Tangaza nia kwanza you never know pengine utatakiwa kuchangia percentage ndogo tu
Hahahahahaaa.. Haya mambo nayapenda kweli kweli uchumi Ndo unanizinguaYaan nilikua napekua nikutane na post yako tu
Hahahahahaaa.. Haya mambo nayapenda kweli kweli uchumi Ndo unanizingua
Kwa hela IPI ndugu yangu... Labda nipate offer ntaenda hata mbinguni wakitaka.Nilijua ndugu yangu nitakukuta kwenye list
If you say soOK hii ni nzuri kwa wanandoa. Kila la kheri
Kabisa kabisaMkuu Travelling ni sehemu ya kujifunza pia.
Hahahahahahahahaah! huko utakwenda tu bila hata ya offer.Kwa hela IPI ndugu yangu... Labda nipate offer ntaenda hata mbinguni wakitaka.
You are the traveller! woow......Nilifanyaga safari ya uholanzi kumtembelea sister nauli kwenda kurudi chakula na kuzunguka Amsterdam,deft,Belgium,German na kurudi bongo nlitumia kama million 2.5.kwa mara ya Kqanza kumuona ombaomba wa kizungu ilinifungua macho sana kuondoa inferiority complex mbele ya wazungu...naja inbobo ingawa Eqypt isn't my thing kama utatuweka pending safari zijazo lakin
Usijali pal, utuombee tufanikiwe. Ila wewe pia ungeweza kwenda you knowMm niwatakie kila la heri mkuu msisahau kutuletea mrejesho
Mkuu utabaki na negativity zako mpaka lini??? Pole aiseeeCku izi nackia kuna biashara ya binadamu...
Hahahahahhahahaha! sio rahisi kihivyo mpenz, especially kipindi hiki. Nakumbuka trip yangu ya kwanza outside Tanzania was 2009 nlielekea sehemu inaitwa Mo I Rana nchini Norway. Nakumbuka wengi wa watu walinishangaa nliporudi wakawa wananiuliza kwanini nisingezamia tu??? By then nlikuwa form 6, hebu imagine ningezamia kule kipindi kile, jamaa wangenikamata na kunirudisha hapa Ningepoteza kila kitu na leo God knows ningekuwa wapi. Simshauri mtu kuzamia aiseee mbona bongo life njema sanaUna mawaZo kama yangu nikienda huko nazamia acha nikalale nje tyuu
Penye nia pana njia. Tangaza nia inbobo mkuuNia ipo mkuu..
Usijali you will find a way, nothing is impossible under the sunHahahahahaaa.. Haya mambo nayapenda kweli kweli uchumi Ndo unanizingua