Marafiki wa kusafiri nao (Travelling Partners)

Marafiki wa kusafiri nao (Travelling Partners)

Huwezi elewa utamu wa travelling if you do not do it as a hobby. Travelling is a drug, ni ugonjwa aisee.

Kusafiri kuna utamu wake. You learn alot, meet diverse people, try out different meals.

Someday nitarudia kiguu na njia. See the world,
get lost in the dazzling night lights,get high on the air from different altitudes......

Kwa sasa acha niendelee kulea cubs wangu. Bado wadogo siwezi safiri na amani.
Am sure they are somehow grown up.

How are you Karucee?? Umepotea sana humu mkuu
 
Mrejesho.......
Mkuu mrejesho ni kwamba kundi lilitengenezwa.

Bahati mbaya au nzuri safari ya kundi haikufanikiwa, labda uchumi wa watu sio mzuri. Ila binafsi tangu niliporudi safari yangu ya mwaka 2018 nimefanikiwa kutembelea nchi 3 ndani ya miaka 2. Ni mategemeo yangu ntatembelea nchi tatu nyengine mwakani alone.
 
Hongera sana mkuu. Mwenyezi Mungu ajalie ufikie malengo yako.
 
Back
Top Bottom