Tiket za huko zinapatkana Lumumba dada yang ni wewe tu kuamua mda gan, ukiwa tayar nishtue yan chap unakula ugali Yuda sahan moja, mjulishe na Shunie kama yupo tayar ili usiwe mpwekeKwa hela IPI ndugu yangu... Labda nipate offer ntaenda hata mbinguni wakitaka.
Hakuna reallySasa jee.. Nani hapendi mambo mazuri kwa mfano
Mkuu unaonaje ukaaja kundini na tukashare mawazo???Ni wazo zuri sana. Kwa wenye hobby ya kusafiri tunakuelewa. Huwa napanga na jamaa zangu kusafiri by road around East Africa ila hatujafanikiwa hata mara moja. Najua sababu wengi wa kundi langu tumeshakua watu wazima sasa (above 35) so majukumu ya kifamilia na kazini yanatubana. Wengine wanatu-discourage kuwa hizo safari ni ufuska tu (mpango kazi wa Kigali ulihusishwa sana na totoz) hivyo watu wanakufa moyo/nafsi zinawasuta.
Ningependa sana kujoin group yako. Ila safari ya Egpyt nimeshaifanya. Sioni sababu ya kurudi tena hapo wakati kuna sehemu kibao za kwenda sijaenda. Nitajiunga nawe/nanyi siku ya kwenda elsewhere in Africa, Middle East na Asia (Ulaya na Amerika inabidi mfuko uwe mzuri sana). Kama ni mpenzi wa mpira pia, ikitokea Taifa Starz tunaenda Cameroon next year (nina imani kwelikweli mwakani Mungu ibariki Tanzania itapigwa AFCON) basi organise hii safari kijana wangu. Nitakua tayari 100%....yaani siku tunafuzu tu naanza kutenga fungu la safari.
Mkuu wala usijali, you are number one katika hiliNiliwahi siti na ninafatilia huu uzi kwa umakini sana.
Kabisa kabisa, tena Kenya ni bila hata passport. Kitambulisho tu cha taifa kinatoshaMkuu kwahio nikiwa nina passport tu naenda kenya bila shida yoyote?
Kila la kheri mkuuMimi nataka watu 7 na mimi wa 8.
Mwezi wa 12 twende Mbeya
Hata mchicha ulianza kama mbuyu
Amsterdam tutafika tu
Pamoja sana mkuuUzi unafundisha sana. Tunahitaji kurelax na hizi trips kutoa stress za maisha haya...
Trip ya Egypt ni bonge la trip. Hapa nilipo naenjoy baadhi ya maeneo. 4 days now nipo Alexandria baada ya kutoka Cairo (Giza) kwenye pyramids.
Kama mtafanikiwa msiache kufika Alexandria . Kuna vivutio vingi sana. Wish u all the best katika hiyo trip . sema ndo hivo umri ndo huooo next week navuka kigezo
Nitakuja PMMkuu unaonaje ukaaja kundini na tukashare mawazo???
Karibu sanaNitakuja PM
HahahahahahahhahahahahaWengine ukiondoka nao hawarudi,mi mmoja wapo,nina mpango wa kuzamia sycheles,mauritius,mayote au moroco,mkiwa na trip za huko mnishtue.
ahahahahahahahahah! yaani wewe jamaa, umeamua kuanza kusaidia halafu mwishowe unataka kuangamizawazo zuri ila inategemea mtaenda miji ipi na ipi,misri msiache kwenda shamur sheik,na mtafute hotel za dola 30 kwa siku zipo nyingi mno na mtembelee ufukwe wa bahari zenye hotel nyingi kama ghazalla na mtaona mawakala wa wa excursion nyingi mno hapo na mnaweza kwenda luxor,cairo na mtafaidi sana tu na hatavmkitaka mademu wapo mie ntakupeni simu ya mawakala wa mademu
Hakuna kulipiwa ghalama ni juu yako[emoji23] vyura vingi vinapenda mteremkoWanawake wenye chura watapewa kipaumbele!