Safi sana mkuu, nimerudi from Kenya on 26th September nlikaa 2 nights 3 days. Inaweza kuwa rahisi kupitia Tanga kama upo Dar maana Dar to Mombasa nadhani ni TZS 25,000-30,000 halafu Mombasa to Nairobi ukisafiri na first class bus ni 40,000. Pale Nairobi mimi nlilala Machakos nyumba nzuri tu and I paid TZS30,000 kwa siku kwa hiyo ilikuwa jumla 60,000 kwa night mbili. Kenya is visa-free to Tanzanian (s) kwa hiyo hutokuwa na gharama za visa. Milo ni kama bongo tu na I would suggest upae night 3 Nairobi na night 2 Mombasa.
Go for it aisee