Si tatizo kabisa hilo bibie, sometimes hataki kusafiri na hata nkisafiri nae basi excursions hataki kufanya anataka kukaa ndani. Mke wangu ni mtu wa kipekee katika dunia hii, ni wale wanawake ambao hawana chembe ya matamanio ya dunia, ajabu???
One of the excursion tutakayofanya tukiwa Thailand this time ni "Thailand night life" ameshasema kabisa yeye haendi sisi tuende tutakako. Nonetheless, nategemea kwenda nae Comoro March next year na nimeshamtaarifu naandaa trip na washkaji zangu wa chuo May 2019 bachelor trip (nimedanganya) alichonijibu ni "Safari njema" iwe washkaji tu but me & you know how it works,right???
sisi walitapeliwa watu tena kanisani kabisaaa... ilikua safari ya Israel... mtu alikusanya hadi passport aisee... akatokomea kusipojulikanaBiahara hiyooo na kutapeliwa kupo karibu.
Why Egypt and not elsewhere
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kama kuna mizigo, wakikuweka hata kwenye engine si fresh?Una mke halafu mnataka kusafiri tu na vidosho? Mmh haya bana natamani ila nipo Mimi tu na begi langu la nguo....siwezi kaa hata kwenye buti Amigo?
Nipo tayari[emoji1] [emoji1] [emoji1] kama kuna mizigo, wakikuweka hata kwenye engine si fresh?
Mungu anawaona.Hahahahahahhahahha! wazee majukumu yenu mengi
Basi muedit vigezo.Kama una chura tutakuruhusu
nimekuinboxKumbe bibie??? kwanza sorry aisee nlidhani ni ME. Pili hiyo mzee sikumaanisha an old man, ni zile slang zetu si unajua. Halafu why hutaki kusafiri jamani??
Unajiramba mamaa??[emoji39][emoji39][emoji39]
Hii nini mkuu???
Duh! mkuu kwani hicho ni kigezo???Kama una chura tutakuruhusu
Thanks much mkuu, aren't you interested???You're the best mkuu!
Lakini hiki sio kigezo katika safari hii jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] hakika babu
Vyuma vimefanya nini kwani Mzigua?? Tangaza nia kwanza you never know pengine utatakiwa kuchangia percentage ndogo tuGood idea tatizo VYUMA...
Kweli??? Basi nikutoe wasiwasi, hizi safari wala sio ghali sana kama watu wanavyodhani. hebu tangaza nia kwanzaDuuh... nikija pata mume kama wewe mbona ntanenepaaa zaidi... napenda mno adventures
Hizi ni negativity hazitushughulishi sisiBiahara hiyooo na kutapeliwa kupo karibu.
Why Egypt and not elsewhere
Hahahahhahahahahah[emoji1] [emoji1] [emoji1] kama kuna mizigo, wakikuweka hata kwenye engine si fresh?