Marafiki wa kusafiri nao (Travelling Partners)

Marafiki wa kusafiri nao (Travelling Partners)

$2000 ni sawa na kujiwekea $5.5 kwa siku kwa mwaka mzima. Kusafiri ni kujipanga tu wala sio utajiri.
 
Mkuu uko pm kuna watu? Kipengere cha gharama kisingekuwepo ungefurahi mwenyewe.😀😀😀😀😀😀😀
 
Mkuu uko pm kuna watu? Kipengere cha gharama kisingekuwepo ungefurahi mwenyewe.😀😀😀😀😀😀😀
Mpaka sasa kuna wadau wanne ndio wamejitokeza. Inaonyesha vyuma vimewakazia kweli kweli
 
Hii idea ya Travelling ni nzuri sana Mkuu. Im interested. Join me please. Last year I went to SA for 3 months (Pretoria and Joberg), then Lesotho (Maseru) because its near to SA, then Zimbabwe (Harare), Uganda (Kyotera, Masaka and Kampala) and Kenya (Nairobi, Naivasha, Machakos and Mombasa). This december im planning to visit China then Namibia and Zambia.
Marekani nakosaga Visa Mkuu.

Join me please
 
You are the traveller mkuu. Hongera
 
Mkuu kama ulivyosema Travelling is Cheap ila watu wengi wanadhani kusafiri ni gharama sana. Una enjoy sana. Katika kusafiri kwangu, Sitoisahau Border ya Zimbabwe na SA, Beit Bridge. Dah nili enjoy sana pale
Ulikwenda SA kwa gari??
 
Ahaaaa nilijua tuu, yaan from no where eti MTU aende kutembea? Akirudi atakula mchanga😁😁😁😁😁😁 unless uwalipie.
Mdau, nimekwambia tayari tupo watu wanne tayari, remember we proposed only 8 people. Na hao ni watu serious, kuna waliokuja PM lakini uwezo mdogo wanahitaji kupigwa support which means the desire is there.
 
Kiufupi watu wanapenda kusafiri na elimu juu ya mambo haya inachangia lakini we hope we will travel for real
 
Nilienda kwa Bus Mkuu, mpaka Harare kisha nikachukua Bus lingine mpaka Pretoria. Nilitumia Siku Tano kufika. Nauli yake kwa Bus, kutoka Ubungo mpaka SA ni kama Laki Mbili na Nusu Tu.
see?? It is very cheap. Cha kwanza kabisa, travelling iwe ni hobby kako
 
Mdau, nimekwambia tayari tupo watu wanne tayari, remember we proposed only 8 people. Na hao ni watu serious, kuna waliokuja PM lakini uwezo mdogo wanahitaji kupigwa support which means the desire is there.
OK hii ni nzuri kwa wanandoa. Kila la kheri
 
Back
Top Bottom