Marafiki wa kusafiri nao (Travelling Partners)

Tayar nyie ni wawili hivyo tuje wanaume 3 na wakike 3 ili twende sana.
 
Habari, I really support your Idea, travelling inasaidia sana kwenye kujifunza kuhusu maisha. You Only Live Once.... Life is about taking risks and living to the fullest..... Sio kuishi same kind of life kila siku..
 
Check out theroadchoseme.com jamaa ameendesha gari tokea europe through west africa, south africa na this month yupo bongo anaelekea egypt, ana diary yake kuhusu matukio ya kila sehemu alizopita, its very interesting...
 
Kishafika tanzania
 
Back
Top Bottom