Marafiki wa kusafiri nao (Travelling Partners)

Marafiki wa kusafiri nao (Travelling Partners)

Wenye hela zao waende..ni exposure nzuri

Wengine bado wasaka tonge
Lakini si nimesema its very cheap. Unajua kuna kutaka ukasaidiwa halafu kuna ile hali hata ambition huna. Hebu njoo kundini mamaaa
 
safi sana mkuu
nmepata idea ya road trip na private car to Cape Town sjui ata nianzie wapi
before I die lkn 😯😰
Thats possible too. Nimeona kuna wakenya walifanya 2010 kwenye world cup
 
Honestly napenda sana kujifunza culture tofauti..safari zinampa mtu exposure ya kutosha adventure ya kutosha pamoja na kutengeneza network na watu tofauti...ingawa zinahitaji mfuko uwe umetuna kidogo..
Mkuu nipo mji mmoja hivi unaitwa Johor Bahru nchini Malaysia, kuna kitu kidogo tu nimejifunzza lakini cha maana sana. sasa najiuliza wale wabunge wanaokuja huku ziara za mafunzo wanakuja kufanya nini??
 
ivi mwanamke akiwa na 30 ni mzee... labda sijaelewa vizuri hapo
Kumbe bibie??? kwanza sorry aisee nlidhani ni ME. Pili hiyo mzee sikumaanisha an old man, ni zile slang zetu si unajua. Halafu why hutaki kusafiri jamani??
 
ivi mwanamke akiwa na 30 ni mzee... labda sijaelewa vizuri hapo

Ndugu, neno mzee lina maana nyingi.
ni kivumishi cha sifa. Kama vile kuishi muda mrefu yaani umri mkubwa, miaka mingi, heshima (kwa binadamu),ukuu au cheo.
 
Si tatizo kabisa hilo bibie, sometimes hataki kusafiri na hata nkisafiri nae basi excursions hataki kufanya anataka kukaa ndani. Mke wangu ni mtu wa kipekee katika dunia hii, ni wale wanawake ambao hawana chembe ya matamanio ya dunia, ajabu???

One of the excursion tutakayofanya tukiwa Thailand this time ni "Thailand night life" ameshasema kabisa yeye haendi sisi tuende tutakako. Nonetheless, nategemea kwenda nae Comoro March next year na nimeshamtaarifu naandaa trip na washkaji zangu wa chuo May 2019 bachelor trip (nimedanganya) alichonijibu ni "Safari njema" iwe washkaji tu but me & you know how it works,right???
Unasema umeoa....then unaandaa trip na washkaji wa chuo....bachelor trip.....hizi ni chai za ucku
 
Safi sana mkuu, nimerudi from Kenya on 26th September nlikaa 2 nights 3 days. Inaweza kuwa rahisi kupitia Tanga kama upo Dar maana Dar to Mombasa nadhani ni TZS 25,000-30,000 halafu Mombasa to Nairobi ukisafiri na first class bus ni 40,000. Pale Nairobi mimi nlilala Machakos nyumba nzuri tu and I paid TZS30,000 kwa siku kwa hiyo ilikuwa jumla 60,000 kwa night mbili. Kenya is visa-free to Tanzanian (s) kwa hiyo hutokuwa na gharama za visa. Milo ni kama bongo tu na I would suggest upae night 3 Nairobi na night 2 Mombasa.

Go for it aisee
Huyu ni mwanafunzi wa chuo
 
Back
Top Bottom