Marafiki wa kusafiri nao (Travelling Partners)

Marafiki wa kusafiri nao (Travelling Partners)

Wazo zuri sana nmesafiri na watu wa South Africa, Kenya na raia wengine wa nchi za Africa Magharibi kwa vipindi tofauti.

Ni nzuri AJABU!

Zipo groups ama teams tembelea Instagram, ambazo pia zina organize safari hizi ulimwenguni kote kila mwaka.
Na hiyo inaitwa life with a purpose.
 
Aliyeanzisha uzi huu abarikiwe na watu ipo siku mtakuja kumpongeza na wengine pia kuwa- inspired tokea hapa na kufanya vitu vikubwa.
Always mim naangaliaga vitu kwa side mbili...nimeona lakujifunza toka kwenye uzi huu.
Aamyn brother, pamoja sana mkuu
 
Mimi labda za hapa hapa kwa wale wenzangu na mie dola 1000 sio mchezo mkuu kaitaja kiuwepesi sana eti ndogo wengine hata ndotoni hatuioti
Usijali brother, your time will come too na utaenjoy maisha
 
The world is like a book, the people who don't travel read only one page..but the people who travel read the whole book.

Kesho nitakuwa na safari ya kuelekea Ethiopia kupitia Uganda, Kenya then Ethiopia via Marsabit border.. Nawahaidi zawadi ya picha murua sana kuanzia njiani hadi nitakapofika Sheba empire.

We were not born to pay rent and die.

Envié D'aventure.
Safi sana mkuu, I am in the final preparation hapa. tomorrow mapema kabisa naingia Dar to catch my flight mida mida
 
safi sana mkuu
nmepata idea ya road trip na private car to Cape Town sjui ata nianzie wapi
before I die lkn 😯😰
 
The world is like a book, the people who don't travel read only one page..but the people who travel read the whole book.

Kesho nitakuwa na safari ya kuelekea Ethiopia kupitia Uganda, Kenya then Ethiopia via Marsabit border.. Nawahaidi zawadi ya picha murua sana kuanzia njiani hadi nitakapofika Sheba empire.

We were not born to pay rent and die.

Envié D'aventure.
Bro Engineer kakimbia na wewe umekimbia
 
Its nice brothers! Mie bado nina uwezo wa kusafiri miji ya ndani ya tz ! Hopefully nitaweza soon kuanza kuingia kwa majirani ! Gob blesa
 
Bro Engineer kakimbia na wewe umekimbia
Simba ikifa, Yanga lazma iingie huzuni.

Nimekosa mpinzani wa Jadi wa kupimana nae misuli sababu mpinzani wangu pekee kaingia mitini kimoja ndio maana na Mimi Niko down and demoralized.

Mkimwona engineer mwambieni namsalimu sana and I miss him even more.
 
Honestly napenda sana kujifunza culture tofauti..safari zinampa mtu exposure ya kutosha adventure ya kutosha pamoja na kutengeneza network na watu tofauti...ingawa zinahitaji mfuko uwe umetuna kidogo..
 
Back
Top Bottom