Marafiki tumuombee Nitonye anaumwa Mungu aponye

Marafiki tumuombee Nitonye anaumwa Mungu aponye

Tunamuombea na kumtakia kheri ya siku ya leo, hatuwezi acha mtakia sababu anaumwa atii. Mwaya nitonye Mungu ni mwema utapona kwa uwezo wake. Tunakumiss hapa.

Ebu nisaidie kumtafuta uran,nahisi kichwa kimepata moto kwakutomuona
 
Last edited by a moderator:
Habari marafiki zangu


Tumuombee ndugu yetu rafiki yetu na kipenzi chetu NITONYE anaumwa
na kichwa sana Tumuombe Mungu amponye na arejee katika majukumu
yake ya kikazi kwani yuko mapumzikoni kwa kuumwa.

Tumtakie afya njema na nguvu

Nami namtakia afya njema na arudi kazini akiwa fiti

Get well bestito nitonye

Mi nadhani kuna mengi ya mmuhimu ya kuelekeza maombi yetu kuliko huyo anaeumwa 'kichwa', ingawa hujasema ni kichwa kipi hasa. Dawa ya kichwa inajulikana, mi naona wengine tungeendelea na mambo yetu wakati nitonye anafanya mchakato wa kumuona dakitari...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom