Marafiki tumuombee Nitonye anaumwa Mungu aponye

Marafiki tumuombee Nitonye anaumwa Mungu aponye

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habari marafiki zangu


Tumuombee ndugu yetu rafiki yetu na kipenzi chetu NITONYE anaumwa
na kichwa sana Tumuombe Mungu amponye na arejee katika majukumu
yake ya kikazi kwani yuko mapumzikoni kwa kuumwa.

Tumtakie afya njema na nguvu

Nami namtakia afya njema na arudi kazini akiwa fiti

Get well bestito nitonye
 
jamani my wii hata leo ungekuwa naye unammisije best?
hebu nenda kampigie uji na mayai kwani ndo anayapenda sana
Oohh jamani mpenzi wangu wa pembeni upone haraka urudi huku nakumis mis....
 
hatafurahije na wakati yu mgonjwa tumuombee kwa Mungu amponye na kuingia majukumuni

Tunamuombea na kumtakia kheri ya siku ya leo, hatuwezi acha mtakia sababu anaumwa atii. Mwaya nitonye Mungu ni mwema utapona kwa uwezo wake. Tunakumiss hapa.
 
Back
Top Bottom