Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marafiki mnakaribishwa kwenye kikao cha kwanza

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MKATA KIU, Oct 26, 2012.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,931
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Ukiwa km ndugu, jamaa na rafik yng , napenda kukaribisha kwenye kikao changu cha kwanza kitakachofanyika blue pearl ubungo, plaza 28/10/2012 nahitaji mchango wako wa hali na mali kuniwezesha kujenga nyumba Majohe , maana gharama za kodi hapa mjini zimekuwa juu sana . kufika kwako ndio mafanikio yangu, karibuni sana. USISAHAU KUBEBA GHARAMA ZA UCHAKAVU. :bange::bange:​
   
 2. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 14,861
  Likes Received: 5,821
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaaaaaaaaaaa! NIKAJUA KWISHA HABARI YAKO!!!!!!!!!!! Unaingia anga za YE MAM!!!!!!!
   
 3. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,878
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160

  yani hii msg kanitumia Emil yani nimeshindwa hata kuijibu..!!
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbona tarehe ishapita? Au nimechelewa kama ndivyo pole sana kwan nilitaka kucontribute 5m!
   
 5. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 2,956
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Duuuuuuuuuuuuuuuu! Nitalaa nje!
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 28,705
  Likes Received: 3,595
  Trophy Points: 280
  kumbe cha kujenga? Hicho hakina shida ingekua cha harusi mmmmmmh
   
 7. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,931
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  Haya bwana!
   
 8. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kikao cha kujenga nyumba kinafanyika Blue pearl??? Piga hesaby gharama za ukumbi ni matofali mangapi?? badilisha venue...
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,072
  Likes Received: 1,318
  Trophy Points: 280
  Kikao cha kwanza always vyakula na vinywaji ni juu yako. I hope.ulifanya the needful.
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,142
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 145
  ningekuja, ila ndio nimeiona sasa.
   
 11. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,616
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  hata me nilitumiwa hyo sms na my bf, nilivosoma mwanzo kidogo nizimie. .
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 28,705
  Likes Received: 3,595
  Trophy Points: 280
  hahahaha sikupatii picha... Uliweza kuyasoma maandishi mpaka mwisho?
   
Loading...