nunua vitu kwa bei ya jumla, mfano sukari kg kadhaa, mafuta, mchele, unga, na viungo mwende masokoni muachane na magenge, utajikuta unasave pesa kwa kiasi kikubwa..mke wangu ni mwalimu wa msingi.. naongelea matumizi ya mwezi mnayapunguza vipi kwa mnaoishi kwa bajeti ndogo
50000 maji? anashamba la mboga mboga au bwawa la samaki?Laki saba kwa mwezi ni nyingi sana broo,50,000 bili ya maji
50,000 bili ya umeme
Ela ya kuacha home daily 10,000 *30=300,000
Maesabu ya haraka haraka izo ni laki nne zinatosha kabisa,ukizingatia pia msosi wa mchana we na wife hampiga apo home,
Then watu huwa hatupigagi mahesabu ya michango ya sherehe na ela za vikao vya jioni..coz unaweza kuta unatumia 20,000 hadi 50,000 kwa siku kwenye vikao vya jioni au gambe...50000 maji? anashamba la mboga mboga au bwawa la samaki?
Ningumu kutegemea one source of income kukidhi mahitaji yako yote.