contagious
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 528
- 344
- Thread starter
-
- #61
Ahahaha hakika umenifurahisha, lkn pia uliyoyasema ni ukweli mtupu, hard to differentiate.kinachonishangaza humu ni kwamba sijui ID ipi ya kiume au ya kike au ya shemale maana humu bwana panashangaza sana ndo maana naogopaga kuchart na mtu kwa sababu unaweza ukafall in love kwa mwanaume mwenzio au popo bawa
Maneno tu nimpende? Maneno tu nivutiwe naye? Hata kataswira hakuna jamani Ushimen, haiko namna hiyo!Sisi wazee tunasema.......
Hauku mpenda au haku kuvutia.
Ivo tu [emoji135] [emoji135]
AhahahaMmhh!! mapenz ya kihindi
Mie nilikuwa nafurahia kila siku mpk alipoamua kuhama nyumba kwa kukosa unyumba, kwahiyo nasikitika kukosa chatmate lkn mambo hayakwenda mramba mie, ila natoa wosia mkiwa mnaongea msiamini mno, ukikutana nami mie napenda kufurahia umahiri wa maneno, sina muda wa kukutafuta kugegedana.ingekua vizuri wakawa wanaelezea pia wanapofurahi kabla hayajaenda wrong
ingekua vizuri wakawa wanaelezea pia wanapofurahi kabla hayajaenda
Maneno tu nimpende? Maneno tu nivutiwe naye? Hata kataswira hakuna jamani Ushimen, haiko namna hiyo!
Exactly wewe ndiye haswa utanifaa, barafu wa moyo!View attachment 391824
Kama haku kuvutia,
Basi nicheki hata mie mkuu,
Nimeona hakuna ubaya nikitupia na kapicha..[emoji5] [emoji5] [emoji5]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
yeah [emoji23]Nawe una wako muhibu humu?
mie mwenyewe mara ya kwanza sikuuelewa....Mhh ....
Mimi cjaelewa hapa .....ivi huu uzi unahusu nn ...
Msaada pls
Kwani wew bado..??haaa we umewahi kukumbana na hiyo kitu ???
Nasubiri utaje nijue mojayeah [emoji23]
Basi mororo........[emoji39] [emoji39]Exactly wewe ndiye haswa utanifaa, barafu wa moyo!
Dah.....Halafu Siku ya Siku unagundua ni dume/jike mwenzio [emoji85]Kweli kabisa...JF MMU is a world of its own.
Wakati mwingine unakuta kuna couples humu tena kwa hata miaka...lakini hata kukutana hawajahi.
Vituko vya humu bana...full burudani.
Heaven .......mie mwenyewe mara ya kwanza sikuuelewa....
haaa we umewahi kukumbana na hiyo kitu ???
Tegeta ? Jina lake la ukweli linaanzia na H ?Wee..kuna mmoja, nilimfuata, nika drive hadi Tegeta, Dec 2015... picha kibaoo kanitumia... mtoto tako tako ktk picha, kiuno nyigu... wee nilichokikuta, siri yangu.. sisemi ng'oo... nilibakia kumwagizia Amarula nikabaki najichekesha mwanaume... nguvu zote zimeniishia..
Acheni tu... achaaa
Umenifanya nimwazie flani anaanzia na Hnaish tegeta[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Tegeta ? Jina lake la ukweli linaanzia na H ?
Tegeta ? Jina lake la ukweli linaanzia na H ?