Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,889
tunaanza taratibu kuzoeana ndio nijenge taswira... kukuona hapa Leo kwenye hii thread taswira inashindwa kujengeka lolsUsinichekeshe nawaza hapa unanipatia picha gani
Hakuna kwakweli lkn usiamini ndani ya wiki moja kuwa huyu ni wangu, ama nimeshamaliza kazi mademu wote dizaini moja, nishampata kiulaini!Sema kuna watu wamekutana humu wakatamaniana mpaka leo wako wote.
There is no any special venue kwa ajili ya kukutania mkalane ujue.
it's easy in the name of love!Then ua game must be tight!
Haya mambo ya kujengeana taswira mara nyingi mkija kukutana inakuwaga over rated. Basi unajifanya kutabasmu ili muda uende kwa wengine ndo inakuwa first and last datetunaanza taratibu kuzoeana ndio nijenge taswira... kukuona hapa Leo kwenye hii thread taswira inashindwa kujengeka lols
asanteni sanaKaribu sana, this is the best place to be.
Ukiyachukulia too seriously huwezi kuenjoy, nataka kucheka tu, natumia lugha ya ulimi wewe waingia mkengehaa aa sasa hapo ndio wengi tuna differ namna tunavyo view hayo maisha... btw kwani ukichukulia maisha serious huwezi ku enjoy
Hahaha hata saa nyingine ndani ya masaa unjpgia mbona week mbali weweeHakuna kwakweli lkn usiamini ndani ya wiki moja kuwa huyu ni wangu, ama nimeshamaliza kazi mademu wote dizaini moja, nishampata kiulaini!
Sisi wazee tunasema.......Jamani, mie nilipata mwenza hapa, nikawa nafurahia mazungumzo baada ya habari, tatizo lilikuja pale nilipokuwa mkweli kwake kwamba kwa hakika hawezi kunila kwasababu nilijua kila nililokuwa nikilisema Kwake halikuwa na ukweli, mie ilikuwa fab time to chill after stress za siku nzima, lakini pia jamani msiwe mnatongoza watu huku, wengine majini, shauri yenu kama hamtaki kusikia. [emoji12]
mi langu[emoji102] tu leoHahaha hata saa nyingine ndani ya masaa unjpgia mbona week mbali wewee
haaaaaa wewe hujakutana na mtu huku.... wengine tuko deep sasa hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema kuna watu wamekutana humu wakatamaniana mpaka leo wako wote.
There is no any special venue kwa ajili ya kukutania mkalane ujue.
Ushimen yule wako mliishianaga wapi.. nakumbuka zile thread zako za kufa mtuSisi wazee tunasema.......
Hauku mpenda au haku kuvutia.
Ivo tu [emoji135] [emoji135]
ila nionavyo mimi japo haiwezekani kuwa anae kupenda ndo umpende....ila ipo tofauti yani mara nyingi unae mpenda huwa akupendi na anaekupenda huwa umpendi.....dah mapenzi haya hayana tafsri kabisa.Huyu anatamani kupendwa! Raha kukitokea mkanganyiko wa aina hiyo, ni kuongea ukweli, wewe ni rafiki yangu, naheshimu hilo na kukipenda hivyo, si zaidi ya hapo.
Ukiona kobe kakaa kimya jua anatubga sheriami langu[emoji102] tu leo
mhhh.. kama hivo basi kutakua hakuna makenziila nionavyo mimi japo haiwezekani kuwa anae kupenda ndo umpende....ila ipo tofauti yani mara nyingi unae mpenda huwa akupendi na anaekupenda huwa umpendi.....dah mapenzi haya hayana tafsri kabisa.
.... wengine tuko deep sasa hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ingekua vizuri wakawa wanaelezea pia wanapofurahi kabla hayajaenda wrongtatizo mambo yakishaenda vibaya ndio mtu analeta malalamiko huku watu wajadili na watoe hukumu wawezavyo kwa maneno yao
ingekua vizuri wakawa wanaelezea pia wanapofurahi kabla hayajaendatatizo mambo yakishaenda vibaya ndio mtu analeta malalamiko huku watu wajadili na watoe hukumu wawezavyo kwa maneno yao
[HASHTAG]#hahaha[/HASHTAG] ningumu sana hyooingekua vizuri wakawa wanaelezea pia wanapofurahi kabla hayajaenda wrong
ingekua vizuri wakawa wanaelezea pia wanapofurahi kabla hayajaenda