Mara ya mwisho ume m Piga DENDA mpenzio lini.!?

Mara ya mwisho ume m Piga DENDA mpenzio lini.!?

WaliNazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
851
Reaction score
96
Sijui ni nini, ila ka utafiti kadogo nlikofanya DENDA haliliwi kwa wapenzi wengi siku hizi....
Mimi sasa madenda nayashuhudia ktk movie....
Eti ni kwanini? Hatukulani mate siku hizi...

Nani yuko honest hapa..! Atuambie kama bado ana kula mate ya mpenziwe?

HAYA.
 
usiku baada ya kumaliza kula ubwabwa samaki na iseke ipwisa
 
Lala ukiamka kesho utapata jibu watu siku hizi hawanyonyi ulimi wananyonya **
samahani lakini...!
 
wazinzi hawanyonyi denda....ila wanaoaminiana km dawa.....pale pana raha yake...au una makinda mdomoni nini?
 
Hii kitu siku izinapgwa kwa wapenzi wapya bado wapo moto moto ila wale zilipendwa WALAAAA!
 
Sijui ni nini, ila ka utafiti kadogo nlikofanya DENDA haliliwi kwa wapenzi wengi siku hizi....
Mimi sasa madenda nayashuhudia ktk movie....
Eti ni kwanini? Hatukulani mate siku hizi...

Nani yuko honest hapa..! Atuambie kama bado ana kula mate ya mpenziwe?

HAYA.
mjomba demu wa bar unaweza kumlaa denda au disco kila demu utae kutana nae umle denda...dah utanyonya sharoboko za machizi wengi sanaa.....NA KWA MWANAUME MLEVI MIX SIGARA,VIROBA,MIRUNGI DEMU WAKO ATAWEZA KUKUKULA DENDA
 
Back
Top Bottom